CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Anaongea kana kwamba anaongea na chekechea vile.Ila wanasiasa ni janga la dunia. Eti "Rais Samia anawapenda sana".
Wamasai kubalini huduma zirudi lakini msije kujiponza kumpongeza mtu kwa kuwa hiyo sio hisani ni haki yenu. Msimamo ni ule ule hakuna kuondoka kwenye ardhi yenu.
Kweli tupu...Tengeneza tatizo kisha litatue upate ujiko,ndicho kilichotokea.
Bado kuna watu wana imani naye huyuNani alisitisha hizo huduma huko Ngorongoro?
Kama ni yeye Mama basi atuombe radhi wote kwanza, awajibike na mateso yote.
Nchi hii ina maviongozi mapumbavu sanaRais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.
Soma Pia:
- Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
- Njama: Vituo vyote vya kupigia kura Jimbo la Ngorongoro vimefutwa, ila watu bado wapo na Jimbo bado lipo
Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Hilo sio tatizo ni upumbavu ambao umegharimu maisha ya watu hapo.Tengeneza tatizo kisha litatue upate ujiko,ndicho kilichotokea.
Vipi bado kuhama kwa hiyari kupo au?Wamebana weee hatimaye wameachia. Nguvu ya dola hata siku moja haiwezi kushinda nguvu ya umma. People's power
Huyo mama ana ajenda gani na Tanganyika? Mbona haiuzi Zanzibar kashupalia mali za Tanganyika tu? Wazanzibar wao wanakaa kwa amani kabisa hawabuguziwi ila huku kwetu ndo Mzanzibar huyo anatufanyia fujo kila kukicha. Na yule mkwewe aliyemtuma kutengeneza tatizo (Mchengerwa) angemtuma aende Ngorongoro kutatua tatizoRais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.
Soma Pia:
- Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
- Njama: Vituo vyote vya kupigia kura Jimbo la Ngorongoro vimefutwa, ila watu bado wapo na Jimbo bado lipo
Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Huko wamasai walishakubali kumwaga damu,hilo eneo lisingekuwa la kitalii tena lingegeuka uwanja wa vitaKichwa cha habari cha gazeti kilipaswa kuwa, wamasai wafanikiwa kumshinda Samia, mama asalimu amri kwa aibu!
Huyu Chura amepata wapi masikio)Tengeneza tatizo kisha litatue upate ujiko,ndicho kilichotokea.?