Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

Ukitazama kwenye teuzi hizi hata ziwe nafasi 1000 jambo moja la wazi utakaloona ni watu wale wale ukoo Ile ule.

Sawa sisi wengine sio wanaccm lakini ndio hata hamuwapi zamu Wana CCM wenzenu wengine?

Hivi nyie wanaccm wengine ambao familia zenu hazina karma ya viongozi mtaendelea kupiga makofi mpaka Lini?

Wateuaji wakiona PDF limejaa basi wanatafuta hata kwenye PDF la zamani na sio kuingiza watu wapya.

Mkate wa Taifa ni wa wachache tu.
 
Wewe una subiri nini kuitafuta?

Kama hutaki acha wanao taka wapate kwa kigezo cha kadi
 
Unapitia majina unagundua viongozi waliopo na waliopita watoto wao wameshakua na sasa wameanza kuwaingiza kwenye systems za Gavoo.
Majina mengi ni very common, kama siyo kwenye siasa basi kwenye majeshi yetu. Hadi watoto wa akina Nnape wameshakua sasa
Hao ndio wenye hati miliki ya hii nchi ss wasindikizaji[emoji29][emoji1784]
 
Back
Top Bottom