Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

Kabla ya sisi kupata matatizo Mama Samia alionekana Dubai na maworld leaders katika viunga vya Dubai mara akinywa kahawa na Michael Bloomberg mara Sheikh fulani tajiri wa mafuta nk.

Lakini punde tulipopata matatizo kidogo vigogo wote wa dunia wamekunja mikono nyuma wakati wanajua kabisa mama anarudi nyumbani.

Wangekuwa watu wastaarabu na wenye utu wangemfungia chochote kitu cha kurudi nacho nyumbani kwa ajili ya kuwafariji wanae lakini wapi.

Ndugu zetu ni hawa hawa Wamalawi na Warundi ambao watatumia mahindi na sukari.
 
Kafungiwa vishet na sambusa vikamsaidia safarini.....hakuna kusaidika wahanga hapo wala nini kwanza misafara ya viongozi huko tu iyo pesa ingeenda kusaidia uokoaji ila wamejiandikia mapesa eti kwenda kwenye eneo la tukio......nasemajeeeee wahanga wanangoja chumvi, kibiriti la pakti ya majani na hema na UNHCR 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Badala ya kujifunza kuzalisha vyetu tumegeuka Li-Taifa "OMBA OMBA" aibu hii!
 
Mbona Delegates mmepeleka karibu 300. Mtashindea peda za kusaidia maafa watu 200?
 
Aaaahhaa
 
Amewaaga viongozi wote wakubwa? Hawa viongozi sio rafiki zake kwamba ukipata lisaa na yeye leo basi kesho mtakuwa mnachat kuhusu mambo yako. Wanawaza kuwekeza na wakija mezani wanakuja na agenda specific zikiisha wanaaga na kuondoka. Kwa utajiri ule wakiruhusu kila anayepata maafa na mafuriko si watatoa hela kila siku wafulie? Mama karibu nyumbani. Huyo Bloomberg ukute kila dakika yake imepangiwa mtu maalum aliyeomba kuzungumza nae. Hawasafirigi for leisure kwenye mikutano mikubwa hivi.
 
Acha kupenda vya Bure Mkuu, Vina gharama.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Lucas mwashambwa njoo huku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…