MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kabla ya sisi kupata matatizo Mama Samia alionekana Dubai na maworld leaders katika viunga vya Dubai mara akinywa kahawa na Michael Bloomberg mara Sheikh fulani tajiri wa mafuta nk.
Lakini punde tulipopata matatizo kidogo vigogo wote wa dunia wamekunja mikono nyuma wakati wanajua kabisa mama anarudi nyumbani.
Wangekuwa watu wastaarabu na wenye utu wangemfungia chochote kitu cha kurudi nacho nyumbani kwa ajili ya kuwafariji wanae lakini wapi.
Ndugu zetu ni hawa hawa Wamalawi na Warundi ambao watatumia mahindi na sukari.