Kauli zipi? Mimi naona wewe ndiye uliyefeli.Alishafeli na zile kauli zake.
Sasa anajirudi.
Tena bei iwe sawa na ndugu zetu wa damu kule znzTutarajie kushuka kwa bei ya mafuta.
Hivi Mama ana dhani Mwigulu ataweza kumsaidia? Wakati Mwigulu ana furahia Mama kulaumiwa ili aonekane hafai kuwa Rais ili na yeye agombee 2025!!!Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
View attachment 2217468
Kwa wafanyabiashara hata mafuta yakishushwa bado bidhaa zilizopandishwa bei kwa kisingizio cha mafuta hazishuki bei asilani!! Hivyo ndivyo walivyo miaka yote !! TUME YA BEI NI MUHIMU NCHI HII !!!Tutarajie kushuka kwa bei ya mafuta.
Kimei naye ni jina tuUwezo wa kufikiri kwa Samia na Majaliwa is almost the same. Wanahitaji msaada may be awepo Dr Kimei aweze kuwashauri .
Kwa hiyo wewe ulikuwa unangoja vita iishe? Anza kutumia gari za solar za kipanya wewe.Kwa hiyo Vita imeisha?
Kusema ni rahisi Sana,haya unaifanyaje kuwa supplier kwa short term? Acha kuropoka mkuu..Kutoa 400 bado sio suluhisho. Anatakiwa kutoa buku kabisa. Mbona hizo kodi tunaweza kuzipata kirahisi tu. Bongo tunaifanya ndio supplier wa mafuta nchi zote zinazotegemea bandari yetu. Na tunaweka kakodi kadogo tu kufidia pale tulipotoa.
Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
View attachment 2217468
Hilo unalisema wewe. Hamna pakuhujumu zaidi ya maneno ya kijinga tu. Tunawafahamu, mlikuwa hivihivi wakati wa Mwinyi, mkayarudia tena wakati wa Kikwete na mtaendelea nayo kila ataposhika Muislam. Mwiso wa siku tukilinganisha tunaona kuwa hakuna viongozi bora wa nchi hii zaidi ya Waislaam.Kwa sababu mama ni muislamu kwa hiyo wahujumu uchumi wanamuujumu.