Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

Nani wa kumshauri katika Safu hiyo. Hakuna wote Ni CHAWA ambao matumbo Yao yanategemea UCHAWA wao kwa Samia. Wanaangalia midomo ya Samia inacheza vipi wanafuatia humo humo. Hamna kitu hapo Ni upuuzi mtupu. Kwani hawaoni wenzao wanafanyaje katika situation Kama hii.
RUBBISH
 
Mama yako huyo hataki kodi za dhuruma!

Yani kwa akili yake aliona kwamba ile kitu alikuwa anafanya Magufuli cha kuwabana watu watoe risiti ilikuwa dhuruma!
.
Machawa wake mna kazi sana kumtetea huyu mama.
 
Toa ujinga hapa mkuu,hayo mnayoita mafuta ya kula yana substitute hutaki pika bila mafuta
 

Rais Samia hali ya upandaji wa mafuta ikiendelea ataikimbia nchi​

 
Tunaweza ku-criticize serikali kwa namna yoyote ile, ila sio kila kitu tuseme tu kwa vile we have the freedom to express our views.

Unasema swala la kutoa 920tsh sio swala la majadiliano, upo serious kweli? Every coin counts kama hujui, na kodi yoyote, ongezeko lolote linaathiri mapato ya serikali hivyo ni lazima kuangalia athari za kupunguza/kuongeza chochote
 
Uko kuchapa kazi nyingi na kuingiza movie kupo
 
Mama yako huyo hataki kodi za dhuruma!

Yani kwa akili yake aliona kwamba ile kitu alikuwa anafanya Magufuli cha kuwabana watu watoe risiti ilikuwa dhuruma!
.
Machawa wake mna kazi sana kumtetea huyu mama.
Acha ujinga,Kodi za dhuluma hasitakiwi sio tuu na mama bali na kiongozi yeyote..

Nachosema mimi ni kwamba Serikali haikusanyi Kodi inavyotakiwa kwa hiyo nitolee uchafu wa Mwendazake usoni kwangu.
 
Hivi makamu yuko wapi mbona anakosa kwenye vikao muhimu Kama hichi..?
Isitoshe alishawahi kuwa waziri wa fedha,hivyo anaufahamu mzuri sana juu ya uchumi Sasa anakosaje kwenye swala Kama hili!
Ukute alitoa ushauri ukapondwa!!
 
Kwa wafanyabiashara hata mafuta yakishushwa bado bidhaa zilizopandishwa bei kwa kisingizio cha mafuta hazishuki bei asilani!! Hivyo ndivyo walivyo miaka yote !! TUME YA BEI NI MUHIMU NCHI HII !!!
Ndiyo na wewe uwe mfanya biashara ushushe bei, fursa hiyo. Unangoja nini? Huelewi kuwa Tanzania tunafata mfumo wa biashara huru?

Soma ripoti ya CAG utamfahamu mchawi wako ni nani.

Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Samia anachezewa sana na hajui chochote!

Inakuwaje mafuta yanapanda kwa sh. 300 nzima?

Kama Samia aliweza kukaa USA siku 8 na mafuta yakapanda maradufu, niaminini mimi kwamba hajui chochote
💯✅
 
Kwani kwa sasa tumeizidi Marekani kwa bei?
 
Mama yako huyo hataki kodi za dhuruma!

Yani kwa akili yake aliona kwamba ile kitu alikuwa anafanya Magufuli cha kuwabana watu watoe risiti ilikuwa dhuruma!
.
Machawa wake mna kazi sana kumtetea huyu mama.
Kweli kabisa !! Kwepa yao kodi Hao wakubwa sasa mzigo unamuangukia MTU wa chini !! Kila kitu bei juu !!
 
Acha ujinga,Kodi za dhuluma hasitakiwi sio tuu na mama bali na kiongozi yeyote..

Nachosema mimi ni kwamba Serikali haikusanyi Kodi inavyotakiwa kwa hiyo nitolee uchafu wa Mwendazake usoni kwangu.
Haikusanyi sababu mamako alishasema mtu akatoe kodi kwa hiari, yani ile kushurutisha mtu alipe kodi aliona kwamba ni dhuruma!

Wewe mwenyewe ni uchafu tu, maana kila siku uko hapa unasifia upumbavu!
 
Hawana akili mburula hao,wajibu short cut tena kwa standard ya uwezo wao mdogo.
 
Huu mkutano alioitisha usiku kutafuta suluhisho la bei ya mafuta ni public relations stunt kwani hauelekei kama utatoa suluhisho la tatizo !
Samia anatakiwa kuwa na jopo la wachumi Ikulu ( council of economic advisors ) ambao watamshauri hatua za kuwaelekeza wizara hatua mbali mbali za kuchukua matatizo ya uchumi yanapojitokeza! Hawa wa wizarani wanategemea muongozo toka Ikulu na Ikulu huwezi kupata ufumbuzi kutegemea ushauri wa mtu mmoja!
Samia anakosa input hiyo otherwise alikuwa hana sababu ya Kuwaita, jopo lake la wachumi lingeritoa muongozo. Bila utaratibu huo mama atateseka sana kwani huko mbele matatizo ya kiuchumi yatakuwa makubwa.

Jopo la washauri linahitaji watu wenye experience ambao Samia a naogopa kufanya nao kazi kwasababu ya umri wao; lakini hawa ndio wenye uzoefu na busara kama anavyosaidiwa na Kikwete.
 
kwamba ni mafuta tu vile yule mbunge alilalamika au kila kitu kimepanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…