Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Margaret Thatcher alikuwa na kibamia?Sijui ni nini...lakiini mimi ninachojua wanawake hawana uwezo wa kufanya maamuzi magumu.
Sijawahi kiwa mumwa wa serikalini. Hizo fikra za kitumwa ni zako wewe, sijaingoja serikali kunifanyia mambo yangu ya kimaisha hata siku moja, kwa sababu nafahamu "serikali" ni jina tu na waliopo huko ni binaadam kama wewe au mimi na wapo pale kwa ajili ya matumbo yao kwanza wakitimiza majukumu yao.Kwa hiyo elimu yako hii ya uchumi lazima uwe waziri wa fedha even governor of BoT
Huyu maza ana upimbi mwingi sana!!Mtoa hoja alimaanisha madrasa. Hakutaka kukuambia ukweli
Huenda wamepata clues za kuweza kututoa hapa tulipo kwenye suala la mafuta ambazo zina deadline ya muda mfupi sana. So, hawataki kupoteza point!Si bora wangesubiri kukuche tu maana sio ishu ya leo jana wala juzi, hizi gafla gafla sina imani kama zinakuja na majibu mazuri.
Aisee kweli kabisa juzi nimeshuhudia hawa wazee wa suluali nyeuoe na kofia wamekuja barabara ya vumbi kukamata bajaji wakawa na kula buku mbilimbili zao pamoja na magari walivyomaliza wakaingia kichakani wakabadilisha nguo wakavaa kiraia wakasepa sasa sijui ni kweli ni wenyewe au ni wamchongoHii nchi inaongozwa na vibwengo Kama nane hivi...Yani system iko corrupt kiasi kwamba haifanyi kazi...ka nchi kapo kwenye auto pilot...
Mataifa ya wenzetu kwa vikao serious kama ivyo utakuta wameweka maji tu bas. na mambo yanapangiliwa na kukamilika, kwetu wanawawekea adi wali maharage lakin kikao kinaishia kiutopoloWaafrika tunapenda sana kula imagine kikao serious kama hicho kimejaa machupa na majuisi sijui makorosho kwani wangekula baada ya kumaliza ingekuwaje? Hatuko serious kabisa kila sehemu tunawaza kula kula hovyo tu.
Huku sisi mikate inapanda kila siku!, wanapandisha mia 200 kila wiki!, wanasingizia mafuta ya kula na petrol kupandaGreat..sio tu kushusha bei ya mafuta bali wabuni (actually Waige ) mbinu za kuweza kustabilize price za mafuta nchini on long run, sio wakisikia tu bei imepanda soko la dunia ndani ya masaa yameshapanda bei mpaka ushirombo 🤔 makampuni yote Makubwa ya mafuta duniani Total, BP, Shell yametangaza faida ya kutupa kutokana na price ya mafuta kupanda ghafla kutokana na speculations za ovyo.
Nimejiuliza hilo swali pia.Hiyo picha ni kweli toka jumba jeupe na hizo femosi kama za huku mikahawa yakiswahili
Anawaagiza kina nani sasa!!Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo
Tutarajie tamko la namna gani baada ya kikao hiko ndugu mdau wa jamii forums?
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameitisha Kikao cha dharura usiku wa leo tarehe 08 Mei Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.
Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.
View attachment 2217468
Mtoa hoja alimaanisha madrasa. Hakutaka kukuambia ukweli
Iko wazi tu ni wapi pa kuondoa mafuta yashuke...kuna tozo kibao ni suala kuamua ipi iondoke na ipi ibakiHii siyo vizuri kwa afya ya mkuu wa nchi.
Mheshimiwa angewapa dondoo wasaidizi wake ambao ni mawaziri wenye dhamana wampatie taarifa na mapendekezo yao ifikapo kesho asubuhi juu ya kupata jibu la kutatua kadhia hii.
Kazi ingekuwa mawaziri husika pamoja makatibu wakuu kujikusanya usiku huu pamoja na makamishina, wakurugenzi na wataalamu kutafuta jibu muafaka.
Kaka hujapata maono kuwa nini itatokea?[emoji28]Asante kwa taarifa.
P