Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utaenda kuishi wapi?Auze Tanzania Kwa Wachina
Bora ule mbuno mkuu, wao wanakula pesa zetu, sie tufurahie mbuno tu🤣🤣🤣Hakuna cha kujiunderestimate wala nini, viongozi wetu ni mabaradhuli, watu jeuri, unadhani hawajui wanafanya fyongo, afya, barabara, maji, umeme kote huko shida tupu.
Uwajibikaji zero, watu wanakosa vitu vya msingi wao ni wizi tu na kuendesha magari ya kifahari.
Lenye faida na tanzania hawafanyi, wanafanya yenye faida na wao.
Na kimvua hiki niache kula mbuno mie nikae namshauri samia suluhu.. 😂😂
unataka ukurugenzi mkuu??teuzi 😅
Kenyautaenda kuishi wapi?
Wakiweza lakini ni ngumu mno!burden to government chief, better do cost sharing in provision of social services
Pia ajitahidi kwenye kusimamia rasilimali za taifa azuie mianya ya rushwa awe mkali kwa majiziNi hayo tuu??
Aboreshe kwenye kusimamia rasilimali za taifa ajira kwa vijana kam a sisisafi chief, utamshauri aboreshe wapi?
Nitamshauri aniteue ukurugenzi wa jiji la Dar es salaamAwamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk
Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione ni sehemu ya watanzania wanaofaidi matunda ya nchi hii!
Rais amekupa dakika tano tu umpongeze na umshauri kipi kiboreshwe ama kiongezeke kwenye utawala wake ili kila mtu ajivunie kuwa mtanzania, utazungumza nini?
Nitamshauri Mh Rais afanye Kila linalowezekana Aweke Mitaji Mikubwa kwenye Mabank ya Serikali ili yaweze kuchangia kwenye Uchumi wa Nchi hasa kwenye UANZISHAJI WA VIWANDA KWA WAZAWA.Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk
Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione ni sehemu ya watanzania wanaofaidi matunda ya nchi hii!
Rais amekupa dakika tano tu umpongeze na umshauri kipi kiboreshwe ama kiongezeke kwenye utawala wake ili kila mtu ajivunie kuwa mtanzania, utazungumza nini?
ujumbe wako umepokelewa chief , pia jali afya kwenye hizo mbuno .Hakuna cha kujiunderestimate wala nini, viongozi wetu ni mabaradhuli, watu jeuri, unadhani hawajui wanafanya fyongo, afya, barabara, maji, umeme kote huko shida tupu.
Uwajibikaji zero, watu wanakosa vitu vya msingi wao ni wizi tu na kuendesha magari ya kifahari.
Lenye faida na tanzania hawafanyi, wanafanya yenye faida na wao.
Na kimvua hiki niache kula mbuno mie nikae namshauri samia suluhu.. 😂😂
hata mimi nimepata somo chief, ujumbe utamfikia alikiri yeye ni mdau wa jfNitamshauri Mh Rais afanye Kila linalowezekana Aweke Mitaji Mikubwa kwenye Mabank ya Serikali ili yaweze kuchangia kwenye Uchumi wa Nchi hasa kwenye UANZISHAJI WA VIWANDA KWA WAZAWA.
Kenya inakusanya Kodi kubwa kwa Sababu ya VIWANDA.
Mikopo ya VIWANDA hapa kwetu ina Commercial rate na hakuna Grazing period!
Matokeo yake kila mtu anakuwa tu machinga wa kuagiza bidhaa nje!
Hili Eneo ni Muhimu sana!
Mikopo Maalum kwa ajili ya VIWANDA,KILIMO/MIFUGO na UJENZI.
TIB-Ni bank Nzuri sana lakini haina Mtaji
TADB
AZANIA
TCB.
Mama aweke pesa HUMU-TRILLIONS halafu ILE Wizara ya Mipango itoe Economic Growth Master plan kwa kufungua Madirisha Maalum kwa ajili ya kutekeleza Mipango hiyo kupitia hizo Bank!
Miaka kumi tu ndani ya program hiyo NCHI YETU ITAZIDI NCHI ZOTE ZA EA.
Pesa zitatoka wapi?
Ongezeko la Makusanyo ya Kodi ya Bandari kutokana na Transformation ya DP World.
Jambo la Pili:
Apambane na RUSHWA!
Kuna RUSHWA ZA KIJINGA SANA SERIKALINI!
Hakuna maendeleo yoyote ikiwa RUSHWA itakuwa sehemu ya utendaji Serikalini!
Otherwise SSH is my Best President so far!
Na starehe kuu ya masikini ndio hiyo. 😂🤣Bora ule mbuno mkuu, wao wanakula pesa zetu, sie tufurahie mbuno tu🤣🤣🤣
Siyo changamoto ni woga na kuwalinda maswahiba, namshauriLakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione ni sehemu ya watanzania wanaofaidi matunda ya nchi hii!
Sa mbona unatujibu kama wewe ndo rais mwenyewe?nini hiki, toa ushauri usaidiwe kama kijana.
hao wenye sifa wapatikane kwa njia gani ?Nitamwambia; Mama ktk teuzi zako ziwe za tija sio za kujuana na kuangalia makada!
Watu wenye uwezo wanaachwa wanapewa watu kutokana na kujuana.