Rais Samia akikupa mualiko Ikulu wa dakika 5 utamshauri nini kama kijana wa kitanzania?

Kwanza hiyo kadi ya mwaliko ije na maelezo ya kutosha kwamba kuna nini, yasije kunikuta kama ya wale maaskofu, unafika kwenye mwaliko unakutana na shombo la Mrisho MPOTO.
 
Nitaukataa huo mwaliko.
Siamini mwanamke anaweza kuwa rais.
 
Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk

Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione ni sehemu ya watanzania wanaofaidi matunda ya nchi hii!

Rais amekupa dakika tano tu umpongeze na umshauri kipi kiboreshwe ama kiongezeke kwenye utawala wake ili kila mtu ajivunie kuwa mtanzania, utazungumza nini?
Siwezi kupoteza muda wangu kwenda bora nitumie muda huo kubishania simba na Yanga maana alishaamua atafuata maamuzi ya baba Rizmoko
 
Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk

Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione ni sehemu ya watanzania wanaofaidi matunda ya nchi hii!

Rais amekupa dakika tano tu umpongeze na umshauri kipi kiboreshwe ama kiongezeke kwenye utawala wake ili kila mtu ajivunie kuwa mtanzania, utazungumza nini?
Hongera Chifu Hangaya na naomba machifu warudishiwe mamlaka yao.
 
Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk

Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione ni sehemu ya watanzania wanaofaidi matunda ya nchi hii!

Rais amekupa dakika tano tu umpongeze na umshauri kipi kiboreshwe ama kiongezeke kwenye utawala wake ili kila mtu ajivunie kuwa mtanzania, utazungumza nini?
Waache usanii wa kupigiana simu jukwaani.
 
Tunaimani nawe, kazi iendelee....
 
1-FUNGUA NCHI KIBIASHARA (WEKA FREE PORT) CHUKUA ONLY 5% NDIO KODI YAKO.
KWA BIDHAA ZINAZOINGINZWA NCHINI.
A-UTAPATA FAIDA KWA NCHI ZA MPAKANI WATAKUJA KUNUNUA VITU BONGO .
B-INVESTOR WATAONGEZEKA SABABU YA 5% YAKO ULOEKA.
C-MZUNGUKO WA PESA UTAKUWA MKUBWA SANA BENKI ZETU ZITAFANYA KAZI SANA PAMOJA BERAU.
D-NCHI ZOTE ZA JIRANI ITAKUWA INAETEGEMEA TZ KWA SABABU YA SISI TUNA BAHARI SO PORT YETU LAZIMA IWE YA KISASA.
2-ENERGY NDIO HUO UMEME TUWE NAYO YA KUTOSHA.
3-BARABARA ZA KISASA NA ZIWE PANA MPAKA MIKOANI .
4-USALMA WA RAIA PAMOJA NA MALI ZAO (SECURITY NI MUHIMU SANA)
5-MAFISADI ,WALA RUSHWA,WIZI NA MAJAMBAZI USIWAPE NAFASI YA KUWEPO TZ.
6-UTALII WA NDANI NA WA NJE UBORESHWE.
#Hii nchi Mungu katupendelea inataka viongozi waadilifu tu.

Hizi ndio katika mbinu zinazoifanya Dubai kujuulikana dunia mzima.
Mambo ni mengi si muandishi mzuri .
Namuomba anialike Raisi Samia nina dondoo za kutosha yeye mwenyewe atafurahi.
 
Hapo kwenye umpongeze hiyo njia sipitagi ...hizo dakika za pongezi nafupisha tu shikamoo mama, naenda kwenye ushauri.
 
Back
Top Bottom