Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

Wamuache kiumbe wa mwenyezi Mungu apumzike kwa amani, alivyokuwa hai mbona wote waliufyata....kile chuma hapa ndio nakikubali, undava undava...sasa hivi wapumbavu wananyanyua midomo na wengine kufikia kiasi cha kutaka kuanza kumsumbua mama.... RIP Magu....(mwenyezi Mungu msamehe huyu mzee kila ovu lake na umpe pumziko la amani milele)...

Nilipingana na kile chuma kwenye mitazamo fulani fulani, ila kuna mafala aliwanyoosha....eti leo nao wanavimba vifua kwa mama...jamaa alikuwa akiongea watu wote kimya kasoro kigogo tu...yaani kama mwamba basi ni kigogo peke yake...wengine wote mafala tu..bora mkae kimya tu, maana kama kudai haki mngeidai kipindi kile tuone kweli mnadai haki...
 
Yani Samia kapewa makavu live na kanisa kwamba mwendazake alizingua dah noma sana
walishindwaje kumwambia mwenyewe alipokuwa hai?

waliogopa nn? kama wao waliogopa, waumini inakuwaje?

yohane mbatizaji hakuogopa kumpa makavu mfalme, ijapo aliishia kukatwa kichwa, hiyo ndio sifa ya kiongozi wa kanisa
 
Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.
Uchaguzi wa TEC wa mara ya mwisho ulikuwa influenced na watu wa TISS. Waliweza kumpenyeza na kisha kumchagu-lisha Askofu Gervas Nyaisonga wa Jimbo la Mbeya kuwa Mwenyekiti wa TEC kwa miaka 5 kuanzia 2018. Eti ilionekana kuwa kanisa liko mbali na Serikali wakati wa Mwenyekiti Tarcissius Ngalelikumtwa wa Iringa hivyo basi wamchague Gervas Nyaisonga kwa vile ana urafiki binafsi na Jiwe.

Hapo ndipo kanisa Katoliki Tanzania liliakia poyoyo katika mstakabali wa kutetea waumini wao.

KKKT waliruka mtego wa TISS uliotaka kumtoa Dr Shoo
 
Aisee mwendazake kweli alizingua yani naona nyaisonga analalamika mbele ya mama rais Samia kwamba kanisa likipata hasara Sana kwenye taasisi zake za elimu nk. Aisee yani mwendazake Basi tu.

Kila siku mniombee. Si ujiombee mwenyewe!
 
Msingi wa ukristo ni Kristo mwenyewe haya madhehebu yote narudia tena yoooote yameanzishwa na wanadamu.

Hakuna dhehebu lolote chini ya jua ambalo litampeleka mtu / waumini mbingini.
Madhehebu yameanzishwa na wanadam mf. Wasabato Elen G White KKKT Martin Luther n.k Ila Kanisa ni moja lililoanzishwa na Kristu mwenyewe mbele ya mitume wake.Ndio maana linaitwa kanisa Moja,Takatifu la Mitume pale Yesu alipomwambia Petro kuwa juu yako nitalijenga kanisa langu.
 
Wamuache kiumbe wa mwenyezi Mungu apumzike kwa amani, alivyokuwa hai mbona wote waliufyata....kile chuma hapa ndio nakikubali, undava undava...sasa hivi wapumbavu wananyanyua midomo na wengine kufikia kiasi cha kutaka kuanza kumsumbua mama.... RIP Magu....(mwenyezi Mungu msamehe huyu mzee kila ovu lake na umpe pumziko la amani milele)...

Nilipingana na kile chuma kwenye mitazamo fulani fulani, ila kuna mafala aliwanyoosha....eti leo nao wanavimba vifua kwa mama...jamaa alikuwa akiongea watu wote kimya kasoro kigogo tu...yaani kama mwamba basi ni kigogo peke yake...wengine wote mafala tu..bora mkae kimya tu, maana kama kudai haki mngeidai kipindi kile tuone kweli mnadai haki...
Eti unamuita chuma!! Yule mwovu kamwe hawezi kupumzika kwa amani. Huko Jehenam bado Shetani amemuacha mlangoni kwa kuwa kila akisoma faili la maovu yake anamuona ni tishio hata kwa utawala wake.

Magufuli will REST IN HELL forever
 
walishindwaje kumwambia mwenyewe alipokuwa hai?

waliogopa nn? kama wao waliogopa, waumini inakuwaje?

yohane mbatizaji hakuogopa kumpa makavu mfalme, ijapo aliishia kukatwa kichwa, hiyo ndio sifa ya kiongozi wa kanisa

Yawezekana mfalme huyu hakuwa wa kusikia asichopenda kusikia.

Yawezekana ni kama hayo ndiyo yaliyopelekea yaliyowakuta kina Lissu, Ben na wengi wengine.
 
"Nilitembelea Hospitali ya Mwananyamala, kuna wodi daktari mfawidhi alikuwa ananiingiza akaniambia humu kuna wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Nikwambia kuwa muwazi, ni COVID[19] kasema, ndio, COVID. Nikawaambia wapigapicha wangu tokeni haraka."- Rais Samia Suluhu Hassan
 
Huo msamiati wa changamoto za kupumua, uliondoka na mwendazake 😁
 
ooh kwahiyo petro ndiyo badala ya Yesu? nilidhani kanisa linajengwa juu ya msingi ambae ni yesu kristo kumbe limejengwa juu ya mwandamu petro! Ukristo hovyo kabisa huo bora kuwa mpagani tu
Uvivu wako wa kusoma na kuomba uelekezwe ili uelewe unakufanya ujudge na uponzwe na ujinga wako.

Vicarius Filii Dei - Mwakilishi wa Kristo chini ya roho mtakatifu.

"Nitakupa funguo za ufalme wa mbinguni; kila utakachofunga duniani, kitafungwa pia mbinguni; kila utakachofungua duniani, kitafunguliwa pia"

" Basi walipokwisha kula, Yesu akamwambia Simoni Petro, Je! Simoni wa Yohana, wewe wanipenda kuliko hawa? Akamwambia, Naam, Bwana, wewe wajua kuwa nakupenda. Akamwambia, Lisha wana-kondoo wangu. Akamwambia tena mara ya pili, Simoni wa Yohana, wanipenda? Akamwambia, Ndiyo, Bwana, wewe wajua kuwa nakupenda. Akamwambia, Chunga kondoo zangu. Akamwambia mara ya tatu, Simoni wa Yohana, wanipenda? Petro alihuzunika kwa vile alivyomwambia mara ya tatu, Wanipenda? Akamwambia, Bwana, wewe wajua yote; wewe umetambua ya kuwa nakupenda. Yesu akamwambia, Lisha kondoo zangu"
 
Lakini hili ni roman catholic siyo lile la mitume! yesu alicha kanisa lake safi kabisa hili lilingiliwa
Ni lile lile mkuu! Waingiliaji ni yale madhehebu yanayojitenga ambayo Yesu mwenyewe alimwambia Petro kuwa kanisa litajaribiwa lakini litashinda!
 
"Nilitembelea Hospitali ya Mwananyamala, kuna wodi daktari mfawidhi alikuwa ananiingiza akaniambia humu kuna wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Nikwambia kuwa muwazi, ni COVID[19] kasema, ndio, COVID. Nikawaambia wapigapicha wangu tokeni haraka."- Rais Samia Suluhu Hassan

Tufike mahali tuelezane ukweli.

Hivi hawa waasisi wa maneno haya ya changamoto za kupumua: kina michembe, wakubi, katelefoni na hata wale vigogo kule wizara ya afya wanasubiri nini serikalini?

Au hadi mama awabadirikie ki nunda nunda?
 
Eti unamuita chuma!! Yule mwovu kamwe hawezi kupumzika kwa amani. Huko Jehenam bado Shetani amemuacha mlangoni kwa kuwa kika akisoma faili la maovu yake anamuona ni tishio hata kwa utawala wake.

Magufuli will REST IN HELL forever

ulifanya nini akiwa hai kumzuia asitende uovu wake na kuangamiza jamii? au ulishinda hapa JF kulialia....kuna kiumbe hata kiliandamana kumpinga na kupambana naye hadharani? au wote mlionyesha hisia zenu gizani....
 
Kuita Covid 19, ni changamoto ya kuoumua ni ujuha, ni uwendawazimu na unafiki. Kijiko ni lazima kiitwe kijiko na chuma chenye bonde.
 
Back
Top Bottom