Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

Daah Mama anaupendo sana jamani hii video imegusa hisia za watu wengi sana, Mungu endelea kumpa maisha marefu Rais wetu kwa ajili ya watanzania

Huyu Mtoto aliomba kuonana na Rais Samia Suluhu maana amemsaidia matibabu kwa miezi 6 katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam

View attachment 2600422
Fuo4h-CXgAIPSmr
Sifa za kijinga hizo!

Mtu kupata matibabu ni haki sio msaada toka KWA Rais!!!

Kutoa msaada ni dalili ya kushindwa mfumo wa afya nchini KWA watu wote!!!
 
Mh. Rais Mama Samia, hakika wewe ni chaguo la Mungu wetu aliye hai.. Mama anagusa maisha ya watu kwa upendo wa kipekee na utu na ubinadamu mkubwa mnoo, Mungu wa mbinguni amlinde daima na milele. Rais ndio anatakiwa hivi sasa, hata mioyo na nyoyo za watu zinapata upendo, amani na matumaini makubwa sana katika nchi na dunia.
 
Sifa za kijinga hizo!

Mtu kupata matibabu ni haki sio msaada toka KWA Rais!!!

Kutoa msaada ni dalili ya kushindwa mfumo wa afya nchini KWA watu wote!!!
Tofauti ya neno sijui Haki au msaada toka kwa Rais haifanyi tusimshukuru Rais kwa jambo hili

huyu angekuwa sehemu ya familia yako hayo maneno yasingekupotezea muda

'…Chizi anaekuchekesha kwa vitimbi vyake ni yule asiekuhusu…'
 
Safi sana, hapo sasa ndo roho ya utu ya mama huyu inapodhihirika.

Ana utu, wenye macho tunaona
Bora Mama atengeneze mfumo rasmi wa kusaidia watu wote wasiokua na uwezo wa kulipia matibabu, maana wenye shida ni wengi sana! Hongera sana Mama kwa moyo huo wa huruma kazi iendelee!!
 
Wewe unaongelea nini Mkuu hapo sio nyubani kwako Gongo la Mboto hapo ni Ikulu
Watoto wadogo wasichana walikuwa wanaenda kumtembelea Ronald Reagan.
Usiku wa manane,Ronald Reagan alikuwa anafika Oval Office,amemshika mkono msichana mdogo,anamwambia yule mlinzi wa Presidential Guard,anamwambulia yule mlinzi,"The kid says she wants to see The Oval Office"
 
Tofauti ya neno sijui Haki au msaada toka kwa Rais haifanyi tusimshukuru Rais kwa jambo hili

huyu angekuwa sehemu ya familia yako hayo maneno yasingekupotezea muda

'…Chizi anaekuchekesha kwa vitimbi vyake ni yule asiekuhusu…'
Kumshukuru Rais KWA uzembe wa taasisi ya afya nchini ambaye yeye ndio kiongozi wake ni shukrani zisizokua na tija!!!

Tuweke mfumo wa afya ambao utamgusa kila mtu ili tujivunie taifa letu kuwa lipo vizuri kimfumo!!

Hiyo haijalishi kama muhusika ni ndugu au siyo ndugu yangu!!!

Mfumo sio hisani ya kuonekana mtawala kia kasaidia!!

Lingekua JANGA la asili ningeelewa kama tetemeko,mafuriko n.k!

SIO hili ambalo limekaa kisiasa ZAIDI!!public branding ya Kiongozi!!japo kibongo bongo wameshawakamata wengi SANA kama mleta mada!!
 
Tofauti ya neno sijui Haki au msaada toka kwa Rais haifanyi tusimshukuru Rais kwa jambo hili

huyu angekuwa sehemu ya familia yako hayo maneno yasingekupotezea muda

'…Chizi anaekuchekesha kwa vitimbi vyake ni yule asiekuhusu…'
Aaaahaaaaaa
 
Sifa za kijinga hizo!

Mtu kupata matibabu ni haki sio msaada toka KWA Rais!!!

Kutoa msaada ni dalili ya kushindwa mfumo wa afya nchini KWA watu wote!!!
Kuna kapoint unako, ila hutaeleweka kirahisi. Simamia hapo hapo unakitu utafika mbali.
 
Daah Mama anaupendo sana jamani hii video imegusa hisia za watu wengi sana, Mungu endelea kumpa maisha marefu Rais wetu kwa ajili ya watanzania

Huyu Mtoto aliomba kuonana na Rais Samia Suluhu maana amemsaidia matibabu kwa miezi 6 katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam

View attachment 2600422
Fuo4h-CXgAIPSmr
Inapendeza sana, kwakweli,
 
Back
Top Bottom