NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Sifa za kijinga hizo!Daah Mama anaupendo sana jamani hii video imegusa hisia za watu wengi sana, Mungu endelea kumpa maisha marefu Rais wetu kwa ajili ya watanzania
Huyu Mtoto aliomba kuonana na Rais Samia Suluhu maana amemsaidia matibabu kwa miezi 6 katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam
View attachment 2600422
Hapa au pm mkuu!?Tuma namba yako
Angekuwepo yule marehemu angekujibu kama ni haki mbona hao waliopita hawakumtibu huyo kijana.Sifa za kijinga hizo!
Mtu kupata matibabu ni haki sio msaada toka KWA Rais!!!
Kutoa msaada ni dalili ya kushindwa mfumo wa afya nchini KWA watu wote!!!
Tofauti ya neno sijui Haki au msaada toka kwa Rais haifanyi tusimshukuru Rais kwa jambo hiliSifa za kijinga hizo!
Mtu kupata matibabu ni haki sio msaada toka KWA Rais!!!
Kutoa msaada ni dalili ya kushindwa mfumo wa afya nchini KWA watu wote!!!
Wote ujinga ule ule!!Angekuwepo yule marehemu angekujibu kama ni haki mbona hao waliopita hawakumtibu huyo kijana.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Bora Mama atengeneze mfumo rasmi wa kusaidia watu wote wasiokua na uwezo wa kulipia matibabu, maana wenye shida ni wengi sana! Hongera sana Mama kwa moyo huo wa huruma kazi iendelee!!Safi sana, hapo sasa ndo roho ya utu ya mama huyu inapodhihirika.
Ana utu, wenye macho tunaona
Watoto wadogo wasichana walikuwa wanaenda kumtembelea Ronald Reagan.Wewe unaongelea nini Mkuu hapo sio nyubani kwako Gongo la Mboto hapo ni Ikulu
Kumshukuru Rais KWA uzembe wa taasisi ya afya nchini ambaye yeye ndio kiongozi wake ni shukrani zisizokua na tija!!!Tofauti ya neno sijui Haki au msaada toka kwa Rais haifanyi tusimshukuru Rais kwa jambo hili
huyu angekuwa sehemu ya familia yako hayo maneno yasingekupotezea muda
'…Chizi anaekuchekesha kwa vitimbi vyake ni yule asiekuhusu…'
AaaahaaaaaaTofauti ya neno sijui Haki au msaada toka kwa Rais haifanyi tusimshukuru Rais kwa jambo hili
huyu angekuwa sehemu ya familia yako hayo maneno yasingekupotezea muda
'…Chizi anaekuchekesha kwa vitimbi vyake ni yule asiekuhusu…'
Nipo pamoja na wewe huu wote ni upuuzi.Wote ujinga ule ule!!
Kwanini Rais ndio atoe msaada wa afya KWA mtu!!!?
Kwani mfumo wa afya wa nchi upoje!!?
Huko ni kufeli kwenyewe KWA taasisi ya urais TANGU uhuru!!!
Kuna kapoint unako, ila hutaeleweka kirahisi. Simamia hapo hapo unakitu utafika mbali.Sifa za kijinga hizo!
Mtu kupata matibabu ni haki sio msaada toka KWA Rais!!!
Kutoa msaada ni dalili ya kushindwa mfumo wa afya nchini KWA watu wote!!!
Inapendeza sana, kwakweli,Daah Mama anaupendo sana jamani hii video imegusa hisia za watu wengi sana, Mungu endelea kumpa maisha marefu Rais wetu kwa ajili ya watanzania
Huyu Mtoto aliomba kuonana na Rais Samia Suluhu maana amemsaidia matibabu kwa miezi 6 katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam
View attachment 2600422