Imagine wakifunga hizi taasisi tu hali itakuwajeSerikali haishindwi kumuua m-tec ikitaka,hawahitaji aende ikulu,mafuvu yenu yamejaa maji
Ndanda..by those days Maria Nyerere alikuwa natibiwa pale miaka ya 70s.....Lukohe, chiungutwa, forest,Mfano huku kusini bila hospital ile ya ndanda sijajua hali ingekuwaje aisee
Labda akale wali maharage maana Hana la maana tofaut na kusema Lissu aendelee kukaa ndan na Heche akamatweShekh Mwaipopo kapata mualiko Chamwino
Huijui RC muulize waziri wako wa mambo ya nje ya kilichompleleka Roma au fuatilia siasa za dunia hii ndiyo utajua nguvu ya utawala wa Roma.TEC haina nguvu yoyote,hapo ni siasa jumuishi tu,wajione na wao wamo,mama angekua na mentality ya magu pasingekua na marifhiano wala watu kuitwa hivi,infact baadhi ya wavaa majoho wangekua wanapiga story na lissu
Mm nashaur muwekewe mikeka ili baadae kitu Cha pilau na wali zkija mle bila kua na wasiwasiBaraza la vyama rafiki walipokutana walikaa kama wapo ukumbini wanakamati ya fitina ila hawa ma bwana wamewekwa kwenye meza yamkao kama baraza la mawaziri nini maana yake nasiye ma shekh tukiitwa tukae namna hyo syo kuwekwa kwenye ukumbi hata ukitaka kuandika kitu unaandikia juu ya goti
Ewaaahh hapo sawa umewaza vyema.ila baada ya kutoka kwenye meza za raundi ndo twende kwenye mkekaMm nashaur muwekewe mikeka ili baadae kitu Cha pilau na wali zkija mle bila kua na wasiwasi
Delila alitumia maneno tu kumshawishi Samsoni au alimpa na lile tunda kama alivyofanya Hauwa kwa Adamoo?Saa100 ni sawa na Delila!
Watumishi wa mungu, someni habari za Samson na Delila,kwenye kitabu kitakatifu!
Biblia inatupa simulizi la Delila katika Waamuzi 16:4–21, mwanamke aliyekuwa karibu na Samsoni, lakini akatumia ukaribu huo kumshawishi mpaka akafichua siri ya nguvu zake. Mwisho wake, Samsoni alisalitiwa, akanyolewa nywele na kupoteza nguvu zake.
FactMtu aliyesomea falsafa na kuielewa huwa na reasoning ya hali ya juu sana. Kamwe huwezi kumuingiza kwenye uchawa au ushawishi wako kirahisi tu kama unavyofikiri.
Mna nini kipya au mnataka picha?Na sisi Masheikh wa Bakwata na ndugu zetu Maaskofu wa KKKT tunataka kuonana naye haraka iwezekanavyo.
Kwa hiyo, Delila hakutajwa kumpa Samsoni tunda. Silaha yake ilikuwa maneno na ushawishi, si tunda.Delila alitumia maneno tu kumshawishi Samsoni au alimpa na lile tunda kama alivyofanya
Delila hakutajwa kumpa Samsoni tunda. Silaha yake ilikuwa maneno na ushawishi, si tunda.
Mtandao mpana hata coca-cola wanao,tuliona Trump alivomzingua papa juzi,katoliki haina nguvu hizo mlizoaminishwa inazo,rejea Mussolini na Hitler walivyowa-treat,hapa ni Nyerere tu na ukatoliki wake ndiyo alijenga mifumo ya kuliheshimu kanisa lakeHuijui RC muulize waziri wako wa mambo ya nje ya kilichompleleka Roma au fuatilia siasa za dunia hii ndiyo utajua nguvu ya utawala wa Roma.
Kwa taarifa kanisa katoliki lina mtandao mpana tena unaheshimika na watu wake hapa nchini kuliko wa CCM.
Siyo kwamba hayo maeneo hakuna hospital,zipo,za serikali na binafsi,mfano wakifunga st Ann tabora,kuna hospital binafsi Bora zaidi inaitwa malolo,lakini kuna za serikali kitete referral na milambo hospital ziko poa zaidi ya st Ann,lakini kuna nkinga hospital kitambo igunga kule ya maana tu na nyingine nyingi tuImagine wakifunga hizi taasisi tu hali itakuwaje
Hizo ni Regional na Referral Hospitals tu hali itakuwaje
- Bugando Medical Centre (BMC)
- St. Francis Referral Hospital: Ifakara
- St. Benedict Ndanda Referral Hospital: Mtwara
- Cardinal Rugambwa Regional Referral Hospital: Ukonga, Dar es Salaam
- St Joseph Mission Hospital Peramiho.
- St Ann Mission Hospital Ipuli
- Tosamaganga Regional Referral Hospital: Iringa
- St. Walburg’s Nyangao Referral Hospital: Lindi
- Consolata Hospital Ikonda: Njombe
- Kabanga Mission Hospital Kigoma
- Dr Atiman Memorial Hospital Rukwa
- St Benedict Health Center Urwila Mpanda.
- St Camilius Regional Referal Hospital Dodoma
- Chimala Mission Hospital Mbeya
Imagine wakifunga hizi taasisi tu hali itakuwaje
Hizo ni Regional na Referral Hospitals tu hali itakuwaje
- Bugando Medical Centre (BMC)
- St. Francis Referral Hospital: Ifakara
- St. Benedict Ndanda Referral Hospital: Mtwara
- Cardinal Rugambwa Regional Referral Hospital: Ukonga, Dar es Salaam
- St Joseph Mission Hospital Peramiho.
- St Ann Mission Hospital Ipuli
- Tosamaganga Regional Referral Hospital: Iringa
- St. Walburg’s Nyangao Referral Hospital: Lindi
- Consolata Hospital Ikonda: Njombe
- Kabanga Mission Hospital Kigoma
- Dr Atiman Memorial Hospital Rukwa
- St Benedict Health Center Urwila Mpanda.
- St Camilius Regional Referal Hospital Dodoma
- Chimala Mission Hospital Mbeya
Wewe unaangalia uwepo wa Hospitali na siyo uwepo wa Huduma.Siyo kwamba hayo maeneo hakuna hospital,zipo,za serikali na binafsi,mfano wakifunga st Ann tabora,kuna hospital binafsi Bora zaidi inaitwa malolo,lakini kuna za serikali kitete referral na milambo hospital ziko poa zaidi ya st Ann,lakini kuna nkinga hospital kitambo igunga kule ya maana tu na nyingine nyingi tu
Stori za kusadikika na kujirisha upepo hizo..umerithi kutoka kwa Wazazi Wako uliowakuta kwenye UKATOLOKI..tu .tofauti na hapo huna hoja maalumu ya kuwa huko..Tec Ina nguvu kuliko serikali! Nguvu ya Tec huioni Wala haitumii mabomu ila 70% ya gvt work force Iko chini ya TEC Kuanzia walimu mpaka mainjinia wa tanesco jwtz Hadi tiss Sasa hao wote wakiamua liwalo na liwe gvt inaanguka hapo hapo.
Hakuna kitu paleee.ni mikwara mbuzi tu..Ilikuwaje mkuu
Ndugu yetu kwa makusudi au kwa ujinga ameshindwa kujua Kanisa Katoliki pia ni Serikali.Wewe uko sahihi. Maaskofu wa Katoliki ni watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri. Hilo liko wazi kabisa kutokana na elimu yao ya falsafa. Utawaita, watakusikiliza. Ila hutakuwa na uwezo wa kuwapa maagizo ya kutekeleza kama ufanyavyo kwa wasaidizi wako wengine.
Hao watu wana serikali yao yenye makao makuu Vatican, wana msimamo wao, imani yao, utashi wao, na maamuzi yao.
Jibu hoja kwa nini mlienda kwa Pope???Mtandao mpana hata coca-cola wanao,tuliona Trump alivomzingua papa juzi,katoliki haina nguvu hizo mlizoaminishwa inazo,rejea Mussolini na Hitler walivyowa-treat,hapa ni Nyerere tu na ukatoliki wake ndiyo alijenga mifumo ya kuliheshimu kanisa lake