Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
- Thread starter
-
- #81
Hajasemea wote ameongelea wenye akili tu, kama upo ule upande jua tu wewe ni tabla lasaKwanini unatusemea wote? Hebu jisemee nafsi yako tu. Ungekuwa na akili timamu ungekuwa unatumia fursa hizi kutengeneza fedha!!
Ukifuta hizo kodi hutakuwa na Serikali. Kodi ndiyo inayoendesha Serikali.Nampenda kwa ajili ya Allah
Suala la kodi linaumiza sana, hapa nilipo nalipa
1. Kodi ya pango la serikali kila mwisho wa mwezi
2. Kodi ya eneo la serikali kila mwezi
3. Service levy tena ni kubwa
4.Kodi ya takataka
5. Maji
6. Umeme
7. Kurenew leseni kila mwaka
Yote haya ni ya nini! Tena kwa mtu mmoja tu!
Mh Rais naomba utupunguzie matozo yasiyo na maana, hapo ningeomba ibaki tozo ya "unaponunua umeme kwa maana kila mwisho wa mwezi" kama ni 1000/= ama 1500/= zinazobaki futilia mbali.
Mimi ni muislamu, wewe pia ni muislamu na unajua utakuja kuulizwa.
Ni hayo tu!
Fedha ninazo nyingi tu lakini naumia nikiona watu wengine wanataabika wakati viongozi wanatumia hovyo maliasili za ummaKwanini unatusemea wote? Hebu jisemee nafsi yako tu. Ungekuwa na akili timamu ungekuwa unatumia fursa hizi kutengeneza fedha!!
Na vipi kuhusu kuwa kunguni wa mbowe na lissu?!!Unajisikia kuwa chawa wa mtu unaye mzidi akili, wewe ni mpumbavy
Nenda ufipa kawaulize nyumbuNa vipi kuhusu kuwa kunguni wa mbowe na lissu?!!
Ila hakuna aliyewahi kusema Kikwete pesa IPO Ila maendeleo hakunaKikwete mzunguko wa pesa ila maendeleo ya nchi zer
Mimi ndio nasema, ufisadi ulikithiri zama zake.Ila hakuna aliyewahi kusema Kikwete pesa IPO Ila maendeleo hakuna
Ukifuta hizo kodi hutakuwa na Serikali. Kodi ndiyo inayoendesha Serikali.
Hoja ya kusema wewe ni muislamu haina mantiki. Ni pumba tu
Huyu aende kuwa raisi wa Zanzibar kama anaitaka mno uraisi
Hii nchi haina dini wewe pimbi kama ilivyo Somalia au Afghanistan au Iran. Kasome Katiba ndiyo utanielewa. Dini ni jambo binafsi na Serikali haiingiliiKwakua wewe si muislamu, hivyo huwezi elewa.
Wewe ni mtu wa serikali sio? Unashabikia matozo kweli!!
Tozo nyingi, zipungue, service levy iondolewe, kwenye madini kuna kodi 3 kama sikosei
1 Kodi ya madini
2 service levy
3 TRA, hapo kabla haikuwepo.
Hii nchi haina dini wewe pimbi kama ilivyo Somalia au Afghanistan au Iran. Kasome Katiba ndiyo utanielewa. Dini ni jambo binafsi na Serikali haiingilii
Nakupeleka kwa wagangaAfu za kuhonga wadau wake
Mambo ya msikitini peleka msikitini na yaache huko hukoKwakua wewe si muislamu, hivyo huwezi elewa.
Wewe ni mtu wa serikali sio? Unashabikia matozo kweli!!
Tozo nyingi, zipungue, service levy iondolewe, kwenye madini kuna kodi 3 kama sikosei
1 Kodi ya madini
2 service levy
3 TRA, hapo kabla haikuwepo.