Nampenda kwa ajili ya Allah
Suala la kodi linaumiza sana, hapa nilipo nalipa
1. Kodi ya pango la serikali kila mwisho wa mwezi
2. Kodi ya eneo la serikali kila mwezi
3. Service levy tena ni kubwa
4.Kodi ya takataka
5. Maji
6. Umeme
7. Kurenew leseni kila mwaka
Yote haya ni ya nini! Tena kwa mtu mmoja tu!
Mh Rais naomba utupunguzie matozo yasiyo na maana, hapo ningeomba ibaki tozo ya "unaponunua umeme kwa maana kila mwisho wa mwezi" kama ni 1000/= ama 1500/= zinazobaki futilia mbali.
Mimi ni muislamu, wewe pia ni muislamu na unajua utakuja kuulizwa.
Ni hayo tu!