Sijaelewa, Yaani Kikwete anaishi nyumba ya kupanga?
Ndio alivosema yeye mwenyewe siku ile yupo na marehemu wanakagua maendeleo ya ujenzi kuwa wenye nyumba wanamvumilia Siku zimepita [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ile ya magu aliyomjengea mpaka akaenda kuikagua haikuwa bagamoyo kweli!!?

Maana hii wamesema ipo kinondoni
Magufuli alienda kukagua ujenzi wa nyumba ya JK iliyo Kawe.

Leo kakabidhiwa nyumba ya Kinondoni.

Sasa jiulize, Kawe ipo Kinondoni ama Kawe ipo Bagamoyo.
 
Mkurugenzi eti ndo asimamie miradi ktk halishauri bila kuiba huku anajua hata uwanja hawezipewa baada ya kustaaf
 
Safi sana naona sasa umeanza kunena kwa lugha
 
Hawa watawala ni wachoyo na wabinafsi hakuna maelezo.
Kugawana Ulithi na pesa za walipa kodi ambao wengi ni maskini wa kutupwa hospitali hakuna dawa hakuna madarasa hivi huwa wanawaza nini mioyoni mwao?
Aliyepewa Benz ataliendesha lini na wapi?
JK ana nyumba kila kona kwa nini lakini?
This is ridiculous
Nchi tajiri mfano mzuri USA Canada UK etc wastaafu hawapewi zawadi za magari sijui nyumba kwani hiyo inaashiria kuwa ni RUSHWA SIO FADHILA
Ukistaafu ni jukumu lako kununua nyumba na mortgage utalipa kama wengine, Gari la serikali utapewa na dereva was serikali was serikali kama unahitaji gari la familia utanunua kwa pesa yako japo ulinzi utapewa...
Lipo jambo tusilolijua
Hii tabia ikomeshwe
Hakuna la maana mlilowafanyia wananchi kujilipa fadhila
Mungu Yupo
 
Ule usemi kuwa mwenye nacho ataongezewa hatimaye nimeuona ukitimia ndani ya hizi siku mbili zilizo fatana, kweli Bible huwa haisemi uongo
 
yaan binamu wee acha tyuuh, mioyo ya wananchi inaumia sana ila bas tyuuh, vile wao hawajui.
Na mtaendelea kuumiaaa kama mnawafatilia
Ndomana nasema pambaneni na hali zenu
Na nyie tafuteni kivyenu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…