Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Yeye ana mpaka uwanja wa ndege, nini nyumba ya kulala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete anakaa mikocheni unaingilia kwa baresa paleMh Kikwete kama hautumii ile nyumba yako ya Mikocheni Migombani street nipe mimi nikae maana naona mapopo tu na majani yameota hadi getini.
Kwani ile family ya Simba waliopelekwa Burigi national park wanasemaje? Wanataka kurudi Mikumi au wanataka wapewe nyumba nyingineUtaratibu wa mirath kwa levo ya Marhum Pombe unakuwaje yaan na wao huwa wanakaa kikao cha familia na kupeleka muhtasar wa kikao mahkaman ili kumpata msimamiz wa mirath au kuna namna myingine!!!???
Ni haki yake kikatiba. Tukitaka huu ujinga uishe suluhisho ni katiba mpya tu.Watumishi wa Serikali ndio mjiulize sasa kama Rais anastaafu na bado anajengewa nyumba na serikali au kupewa magari nyie walala hoi kweli mtamiliki nyumba au kujengewa na serikali pindi mtakapostaafu?
Nakumbuka nyumba ya mzee mwinyi ilitumia kiasi shilingi vzaidi ya bil 7, amekabidhiwa akiwa na miaka 95! Ccm ni ileileRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemkabidhi nyumba ya kuishi Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete iliyojengwa katika Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam.
Nyumba hiyo imejengwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ikiwa ni utekelezaji wa kifungu namba 12 cha Sheria ya mafao ya hitimisho la kazi kwa viongozi wa siasa, sura ya 225 na marejeo ya mwaka 2020 ambayo pamoja na stahili zingine za matunzo ya viongozi wakuu wastaafu inaelekeza kuwa Rais anayestaafu anastahili kujengewa nyumba ya kuishi yenye hadhi ya Rais.
View attachment 1778685
Je, ni lini sheria zitarekebishwa ili kila mstaafu ajengewe nyumba yenye hadhi ya kazi yake aliyokuwa anafanya?
Picha ya nyumbaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemkabidhi nyumba ya kuishi Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete iliyojengwa katika Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam.
Nyumba hiyo imejengwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ikiwa ni utekelezaji wa kifungu namba 12 cha Sheria ya mafao ya hitimisho la kazi kwa viongozi wa siasa, sura ya 225 na marejeo ya mwaka 2020 ambayo pamoja na stahili zingine za matunzo ya viongozi wakuu wastaafu inaelekeza kuwa Rais anayestaafu anastahili kujengewa nyumba ya kuishi yenye hadhi ya Rais.
View attachment 1778685
Je, ni lini sheria zitarekebishwa ili kila mstaafu ajengewe nyumba yenye hadhi ya kazi yake aliyokuwa anafanya?
Tulia wewe, mama anawakomesha matagaCCM wanajipendelea? [emoji56]
Sisi hatuwazii nyumba. Tunataka malipo yetu ya pensheni yaliyo haki yetu yalipwe mapema. Hii habari ya walionacho kuongezewa na sisi wakeshahoi kunyang'anywa hata kile kidogo chetu si haki kabisa.Watumishi wa Serikali ndio mjiulize sasa kama Rais anastaafu na bado anajengewa nyumba na serikali au kupewa magari nyie walala hoi kweli mtamiliki nyumba au kujengewa na serikali pindi mtakapostaafu?