Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete
Mh Kikwete kama hautumii ile nyumba yako ya Mikocheni Migombani street nipe mimi nikae maana naona mapopo tu na majani yameota hadi getini.
 
Watumishi wa Serikali ndio mjiulize sasa kama Rais anastaafu na bado anajengewa nyumba na serikali au kupewa magari nyie walala hoi kweli mtamiliki nyumba au kujengewa na serikali pindi mtakapostaafu?
 
Kwa hiyo tufanyeje sasa kama kapewa nyumba. Mkuu pambana na hali
 
Mh Kikwete kama hautumii ile nyumba yako ya Mikocheni Migombani street nipe mimi nikae maana naona mapopo tu na majani yameota hadi getini.
Kikwete anakaa mikocheni unaingilia kwa baresa pale
Mkapa mwenyewe nyumba ya upanga ilikuwa ipoipo tu yeye anakaa masaki na lushoto

Ova
 
Bora sheria imetekelezwa!! Muache raisi wa mioyo yetu nae wamuenzi
 
Utaratibu wa mirath kwa levo ya Marhum Pombe unakuwaje yaan na wao huwa wanakaa kikao cha familia na kupeleka muhtasar wa kikao mahkaman ili kumpata msimamiz wa mirath au kuna namna myingine!!!???
Kwani ile family ya Simba waliopelekwa Burigi national park wanasemaje? Wanataka kurudi Mikumi au wanataka wapewe nyumba nyingine
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemkabidhi nyumba ya kuishi Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete iliyojengwa katika Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam.

Nyumba hiyo imejengwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ikiwa ni utekelezaji wa kifungu namba 12 cha Sheria ya mafao ya hitimisho la kazi kwa viongozi wa siasa, sura ya 225 na marejeo ya mwaka 2020 ambayo pamoja na stahili zingine za matunzo ya viongozi wakuu wastaafu inaelekeza kuwa Rais anayestaafu anastahili kujengewa nyumba ya kuishi yenye hadhi ya Rais.

View attachment 1778685

Je, ni lini sheria zitarekebishwa ili kila mstaafu ajengewe nyumba yenye hadhi ya kazi yake aliyokuwa anafanya?
Nakumbuka nyumba ya mzee mwinyi ilitumia kiasi shilingi vzaidi ya bil 7, amekabidhiwa akiwa na miaka 95! Ccm ni ileile
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemkabidhi nyumba ya kuishi Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete iliyojengwa katika Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam.

Nyumba hiyo imejengwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ikiwa ni utekelezaji wa kifungu namba 12 cha Sheria ya mafao ya hitimisho la kazi kwa viongozi wa siasa, sura ya 225 na marejeo ya mwaka 2020 ambayo pamoja na stahili zingine za matunzo ya viongozi wakuu wastaafu inaelekeza kuwa Rais anayestaafu anastahili kujengewa nyumba ya kuishi yenye hadhi ya Rais.

View attachment 1778685

Je, ni lini sheria zitarekebishwa ili kila mstaafu ajengewe nyumba yenye hadhi ya kazi yake aliyokuwa anafanya?
Picha ya nyumba

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
IMG_5216.jpg

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amemkabidhi mfano wa funguo ya nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete kama ishara ya kumkabidhi nyumba mpya ya kuishi iliyopo Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam ambayo amejengewa na Serikali kwa mujibu wa sheria.
 
Enh bado mziki unaendelea kumbe... kwahiyo kila Raisi aloyeko madarakani anakabidhi nyumba kwa maraisi waliopita pamoja na wizi wote walioufanya au hii kuwafumba midomo
 
Watumishi wa Serikali ndio mjiulize sasa kama Rais anastaafu na bado anajengewa nyumba na serikali au kupewa magari nyie walala hoi kweli mtamiliki nyumba au kujengewa na serikali pindi mtakapostaafu?
Sisi hatuwazii nyumba. Tunataka malipo yetu ya pensheni yaliyo haki yetu yalipwe mapema. Hii habari ya walionacho kuongezewa na sisi wakeshahoi kunyang'anywa hata kile kidogo chetu si haki kabisa.
 
Back
Top Bottom