Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Tuliaaa! Mama anawakomesha matagaNakumbuka nyumba ya mzee mwinyi ilitumia kiasi shilingi vzaidi ya bil 7, amekabidhiwa akiwa na miaka 95! Ccm ni ileile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliaaa! Mama anawakomesha matagaNakumbuka nyumba ya mzee mwinyi ilitumia kiasi shilingi vzaidi ya bil 7, amekabidhiwa akiwa na miaka 95! Ccm ni ileile
Tulia mama awakomeshe matagaEnh bado mziki unaendelea kumbe... kwahiyo kila Raisi aloyeko madarakani anakabidhi nyumba kwa maraisi waliopita pamoja na wizi wote walioufanya au hii kuwafumba midomo
HahahaahahMELI YA NYAN HAIJAWAH KUBEBA AKIL HATA SIKU MOJA SIKU ZOTE HUWA INABEBA MAHIND
Ndio ipo KaweIpo karibu na bahari?
magu ndio alimjengea. Au hamfatilii habarNaona wakati tunamzika mafuguli pia tutaizika na ccm mda sio mrefu
Watu wanagawana cake za Taifa vile wapendavyo yaan, Eeeh Jah tusaidie waja wako.
Huyo ndiye kaijenga."mtanikumbuka"😔😔😔😔
Msimtafutie sababu Mama hizi sheria kazitunga mwenyewe JPM wakati wake na alishamkabidhi Mwinyi na Mkapa ya Kikwete alikuwa amkabidhi wiki 2 kabla hajafariki hapa anatimiza haki za kisheria. Suala la sheria mbaya au nzuri hilo ni jambo lingine lakini zote zilipishwa bungeni tena kwa makofi na sisi tukawapa tena 99% mwaka jana. hakuna kulalamika kazi iendelee.Tulieni dawa iwaingie, mama anatupeleka pazuri 😝😝😝 nchi ilipoteza dira!