Wakumbushe mkuuMama ameteua mtu makini sana.Namfahamu Awadhi nilifanya naye kazi pahali akiwa polisi nami idara nyingine.Awadhi ni mwadilifu,amejaa hekima,ana busara , subira na ni mkweli.Pia ijapo ni polisi, ni mnyenyekevu.
Acheni kutazama udini ndugu,mimi sio muislamu lkn Awadhi seconded anafaa.
Haya mambo ya dini gn mmesahau mara hii yule alikuwa dini gani? Vipi hali ilikuwaje?
Wewe ni mpumbavu mmoja.Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Sasa kama Zanzibar % zaidi ya 90 ya watu wake ni Waislamu, unataka kuwe na uwiano wa 50 kws 50 kwenye uteuzi na dini nyingine? Ni sawa leo useme Bunge la Muungano litoe idadi sawa ya wabunge kwa upande wa Tanganyika na Upande wa Zanzibar wakati kitakwimu ya idadi ya watu Tanganyika ni kubwa karibu x5 zaidi; haitakuwa sawa. So relax braza muhimu uteuzi uzingatie weledi. Tunataka maendeleo na sio dini ya mtu.Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Anawezaje kutoka ACP na kua CP ?Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Unaweza kuandika virefu vyake?Anawezaje kutoka ACP na kua CP ?
manake vyeo viko ACP- SACP- DCP alafu ndio CP
AU Zanzibar hakunaga Senior wala Deputy??
Hata mm nimeshindwa kuelewa imekaaje katoka Direct ACP to CPAmerushwa vyeo viwili, kutoka ACP kwenda CP kuna (SACP na DCP )
Inaonekana wenye rank ya DCP hawana sifa za kuwa CP !
Kwani ujui kuwa huyo nyota yake ni nyota ya mafiiiiHivi kumbe rais anaandikia left. Wanakuaga na akili haoo. Hongera kamishna awadh kwa uteuzi
Ila tatizo waislamu siyo wazalendo kabisa wanapo pewa uongozi ,hata kwenye familia zaoAcha mawazo ya kizamani nchi hii haina dini
Haki na sheria ni vitu tofauti kama mbingu na ardhi, magu alikuwa anapandisha cheo kama alivyo fanya mfalme wa misri kwa yusufu au mfalme nebukadreza alivyo tafuta watu wenye akili na hekima nchi nzima ili awape vyeo vya juu, hivyo JPM alikuwa aangalii sheria ana angalia uwezo ,ufanisi uzalendo ,akili ,bidii ya kazi,na mambo kama hayo , wakati mama ana angalia ,ukabila ,udini ,uchama,uteam msoga, kama unachukia masikini wewe cheo ni chako, kama unatuhuma za ufisadi cheo ni chako ,kama wewe ni mnafiki cheo ni chako ,na katika yote ,MADUI WAKUBWA SANA WA MAMA NI WAZALENDO HAO INAFANYIKA JUU CHINI KUWA POTEZA KWENYE MAMLAKA ZA KIUONGOZI,Jiwe hakuwa anapandisha vyeo wakati vipo kisheria.
😂😂😂😂😂 Juice ya madagascarWale askari walio uwa mtwara wote wagalatia
Kupigana mwingi hapo? ElezeaRais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Halafu anavaa ushungibeti mtu wa dini.Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Aisee!Askari walio walio fanya mauaji mtwara wote wakristo
Kutesa kwa zamu ! Au siyo ???!Nanusanusa harufu ya WEiJiPii, maana upepo ushabadilika kabisa! Unakovumia hata sielewi
tatizo si uwingi wa waislamu bali ubaguzi ulioko kule hata kama mkristo unasifa lkn kwa zanzibar bado hukubaliki.kasumba ya usultani bado inawatafuna.zanzibar ndivo ilivo miaka yote hata wakuu wa mikoa ya kule ni waislamu na ngazi zingine zote, sio upendeleo moja ya sababu watu wengi kule ni waislamu hivo ndio mana wapo wengi serikalini
Tutajie Kamishna gani wa Police Zanzibar ambae hakuwa muislam ..?Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
We mwenyewe huoni aibu na udini wako huo! Wangechaguliwa wakristo usingefunua domo lako hilo. Usituletee udini hapa, mwache mama apige kazi. Sasa we we na ukiristo wako huo unataka ukawaongoze waislamu anzanzibar.Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu