Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Mama ameteua mtu makini sana.Namfahamu Awadhi nilifanya naye kazi pahali akiwa polisi nami idara nyingine.Awadhi ni mwadilifu,amejaa hekima,ana busara , subira na ni mkweli.Pia ijapo ni polisi, ni mnyenyekevu.
Acheni kutazama udini ndugu,mimi sio muislamu lkn Awadhi seconded anafaa.
Haya mambo ya dini gn mmesahau mara hii yule alikuwa dini gani? Vipi hali ilikuwaje?
Wakumbushe mkuu
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Wewe ni mpumbavu mmoja.
Nchi hii siyo ya wakristo na waisalam ninya Watanzania.
Period
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Sasa kama Zanzibar % zaidi ya 90 ya watu wake ni Waislamu, unataka kuwe na uwiano wa 50 kws 50 kwenye uteuzi na dini nyingine? Ni sawa leo useme Bunge la Muungano litoe idadi sawa ya wabunge kwa upande wa Tanganyika na Upande wa Zanzibar wakati kitakwimu ya idadi ya watu Tanganyika ni kubwa karibu x5 zaidi; haitakuwa sawa. So relax braza muhimu uteuzi uzingatie weledi. Tunataka maendeleo na sio dini ya mtu.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Anawezaje kutoka ACP na kua CP ?

manake vyeo viko ACP- SACP- DCP alafu ndio CP

AU Zanzibar hakunaga Senior wala Deputy??
 
Anawezaje kutoka ACP na kua CP ?

manake vyeo viko ACP- SACP- DCP alafu ndio CP

AU Zanzibar hakunaga Senior wala Deputy??
Unaweza kuandika virefu vyake?
Hapo ndipo tutakata mzizi wa fitina
 
Amerushwa vyeo viwili, kutoka ACP kwenda CP kuna (SACP na DCP )
Inaonekana wenye rank ya DCP hawana sifa za kuwa CP !
Hata mm nimeshindwa kuelewa imekaaje katoka Direct ACP to CP
 
Jiwe hakuwa anapandisha vyeo wakati vipo kisheria.
Haki na sheria ni vitu tofauti kama mbingu na ardhi, magu alikuwa anapandisha cheo kama alivyo fanya mfalme wa misri kwa yusufu au mfalme nebukadreza alivyo tafuta watu wenye akili na hekima nchi nzima ili awape vyeo vya juu, hivyo JPM alikuwa aangalii sheria ana angalia uwezo ,ufanisi uzalendo ,akili ,bidii ya kazi,na mambo kama hayo , wakati mama ana angalia ,ukabila ,udini ,uchama,uteam msoga, kama unachukia masikini wewe cheo ni chako, kama unatuhuma za ufisadi cheo ni chako ,kama wewe ni mnafiki cheo ni chako ,na katika yote ,MADUI WAKUBWA SANA WA MAMA NI WAZALENDO HAO INAFANYIKA JUU CHINI KUWA POTEZA KWENYE MAMLAKA ZA KIUONGOZI,
 
Tutegemee mabadiliko makumbwa kwenye wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama hivi karibuni huwenda mwezi huu kabla haujaisha.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Kupigana mwingi hapo? Elezea
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Halafu anavaa ushungibeti mtu wa dini.
 
Huyu nafikiri ndie alikuwa RTO Kinondoni siku za nyuma, ni mtu wa singida kama sikosei
 
zanzibar ndivo ilivo miaka yote hata wakuu wa mikoa ya kule ni waislamu na ngazi zingine zote, sio upendeleo moja ya sababu watu wengi kule ni waislamu hivo ndio mana wapo wengi serikalini
tatizo si uwingi wa waislamu bali ubaguzi ulioko kule hata kama mkristo unasifa lkn kwa zanzibar bado hukubaliki.kasumba ya usultani bado inawatafuna.
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Tutajie Kamishna gani wa Police Zanzibar ambae hakuwa muislam ..?
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
We mwenyewe huoni aibu na udini wako huo! Wangechaguliwa wakristo usingefunua domo lako hilo. Usituletee udini hapa, mwache mama apige kazi. Sasa we we na ukiristo wako huo unataka ukawaongoze waislamu anzanzibar.
 
Back
Top Bottom