pangwinga
JF-Expert Member
- May 2, 2021
- 200
- 140
Wakumbushe mkuuMama ameteua mtu makini sana.Namfahamu Awadhi nilifanya naye kazi pahali akiwa polisi nami idara nyingine.Awadhi ni mwadilifu,amejaa hekima,ana busara , subira na ni mkweli.Pia ijapo ni polisi, ni mnyenyekevu.
Acheni kutazama udini ndugu,mimi sio muislamu lkn Awadhi seconded anafaa.
Haya mambo ya dini gn mmesahau mara hii yule alikuwa dini gani? Vipi hali ilikuwaje?