Rais Samia ampinga Shaka kuhusu kuzaa zaa
Pamoja na kuwa na kipato cha kawaida ninawasomesha shule nzuri yenye elimu bora, wanakula, kulala na kuvaa vizuri sana. Wanapata malezi bora ya Mama yao na Baba yao kwa ukaribu sana. Na mwisho nimeweza kujenga nyumba mbili nzuri na za kisasa kabisa
Nyumba mbili tu ?. Pole
 
Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini

Rais Samia akajibu “Hilo la zaeni tu hapana, jana nimesimama Buseresere naambiwa kituo kimoja kinazalisha watoto 1000 kwa mwezi, sasa hapo baada ya miaka mitatu ni madarasa mangapi? Kama ni vituo vya afya vingapi, tani za chakula ni ngapi? Punguzeni kidogo spidi.”
hujui lolote kuhusu population istudies wewe
over population na under population manake ninini?
una bidhaa gani za ndani hata u hamasishe watu kuzaliana wewe?
vipo wapi vile viwanda vya awamu ya tano, hata tuhamasishane kuzaliana?
 
Back
Top Bottom