Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila miaka hii kweli Mungu amebariki watu wanazaa sana
... safi sana; maelezo murua kabisa. Mdogo mdogo naanza kuona some kind of class struggles at least katika level ya thinking kuwatoa ujinga wajinga wachache (wazaa ovyo bila malezi). Inashangaza sana kupenda kuzaa wakati basic needs like kumnunulia mwanao madaftari au uniform za primary ya serikali huwezi! Huo ni ukatili kwa watoto; sera na sheria zitungwe kudhibiti ujinga huu.Hii nchi haipaswi kujazwa yote, yanapaswa kubaki maeneo ya kutosha kwa ajili ya Simba, vifaru, Tembo, Twiga na wanyamapori wengine.
Yanapaswa kubaki maeneo ya kutosha kulima, open space, misitu n.k
Halafu kuijaza tu nchi huku mkiwatishwa gharama wengine ni ujinga na ujuha. Madawati ya watoto wenu, barabara mnazopita, hospital mnazotibiwa wengi mnaozaana sana hata hamjazilipia kodi ya maana, huo mzigo wa kodi wanabebeshwa wafanyabiashara na wafanyakazi wachache kuwahudumia wafyatuaji na wajazaji nchi hoehae.
Msidanganye watu kwamba wanazaa sana kwa sababu wamebarikiwa. Binadamu asipotaka kuzaa anaweza kujizuia kuzaa, wanaozaa sana wanataka kuzaa hivyo au wakati mwingine ni bahati mbaya na wengine wengi hawana uelewa wa jinsi ya kujipanga katika uzazi na kujizui
Binafsi nina watoto wanne, ila natamani hata ningekuwa nao sita.Msidanganye watu kwamba wanazaa sana kwa sababu wamebarikiwa. Binadamu asipotaka kuzaa anaweza kujizuia kuzaa, wanaozaa sana wanataka kuzaa hivyo au wakati mwingine ni bahati mbaya na wengine wengi hawana uelewa wa jinsi ya kujipanga katika uzazi na kujizuia.
Sasa kwani hapa ni Ulaya? Tunazungumzia Tanzania wewe unatoa mifano ya Ulaya?Sio kuzaa ovyo.Inatakiwa kuzaa zaidi kupitia ndoa.Hapo Shaka yuko sahihi. Ulaya majumba yanaongezeka yasiyo na watu na majeshi yanakosa makruta.Sera zao ni hizo za kupunguza kuzaa.
zanzibar.Hivi haya maboga huwa yanalimwa wapi?
Akili ya hovyo hiiMwisho wa kuzaa sana kwa wasukuma ni Silaha ya kupata Kura nyingi Za kuiondoa CCM madarakani.
Mamndenyi, uwe nao hata 100 as long as unawamudu kimaisha haina tatizo. Tatizo linakuja pale unapozaa halafu huna plan yoyote ya kuwalea au kuwawezesha kimaisha; wanageuka kuwa mzigo sio kwako tu, bali kwa jamii na kwa taifa.Binafsi nina watoto wanne, ila natamani hata ningekuwa nao sita.
Wanaotakiwa kupewa elimu janja ni Wanawake,Mwanamme yeye akishalewa analoweka tu.Msidanganye watu kwamba wanazaa sana kwa sababu wamebarikiwa. Binadamu asipotaka kuzaa anaweza kujizuia kuzaa, wanaozaa sana wanataka kuzaa hivyo au wakati mwingine ni bahati mbaya na wengine wengi hawana uelewa wa jinsi ya kujipanga katika uzazi na kujizuia.
... hatari sana ila sidhani kama hiyo iko normally distributed nchi nzima; hilo ni miongoni mwa maeneo wanayoamini katika kuzaa sana bila mpangilio. Dunia ya leo hohehahe unazaa watoto 6+? For what?Kituo kimoja tu cha Buseresere watoto alfu kwa mwezi?
Imagine Nchi mzima kwa ujumlaView attachment 2389335
True angalia Burundi hakuna uzazi wa mpango hali ni mbaya mbaya kwelikweli.... hatari sana ila sidhani kama hiyo iko normally distributed nchi nzima; hilo ni miongoni mwa maeneo wanayoamini katika kuzaa sana bila mpangilio. Dunia ya leo hohehahe unazaa watoto 6+? For what?
Ifike mahali kama taifa kuwe na sera moja ya uzazi wa mpango no matter ni chama gani au mtu gani atakuwa madarakani atapaswa kuitekeleza. Ilivyo sasa hata chizi linaweza kujiropokea tu kuhusu family planning.
Scale ya nchi hiyo sijaongelea ngazi ya familiaHii ndio sababu inayokufanya utake kuwa na rundo la watoto kama timu ya mpira??
'Ukitaka kuwa masikini nchi hii, danganywa kwenda kulima. Utalima kwa gharama zako lakini wakati wa kuuza utapangiwa bei na anayeishi mjini,..... ongezea "danganywa kuzaa na mwisho wa siku...mzigo wa watoto utakuvunja mgongo" 😀Tufyatue tu ili tushindane na Wapemba?!
Utitiri Zaidi Ya Ule Wa KukuMatokeo yake ni utitiri wa Panyarodi.
Huyo Shaka ahojiwe alitumwa na nani kuyasema hayo?Rais Samia akajibu “Hilo la zaeni tu hapana, jana nimesimama Buseresere naambiwa kituo kimoja kinazalisha watoto 1000 kwa mwezi, sasa hapo baada ya miaka mitatu ni madarasa mangapi? Kama ni vituo vya afya vingapi, tani za chakula ni ngapi? Punguzeni kidogo spidi.”
Mama Yetu Samia.. njoo huku makanisani hususani KKKT usharika wa Kimashuku kuna wainjilisti hapa kazi yao wanahubiri kuzaa watoto wengi kama sisimizi eti Mungu kasema zaeni muongezeke mukaijaze Dunia, Mungu ndio anajua wataishije, lakini wametujazia mamichango yasio na kichwa wala miguu, mbona hi michango hawasemimi Mungu anajua??!!!! Musidanganyike kuzaa watoto wengi nikutengeneza umasikini wa kujitakia.......Ni kweli sio busara kuzaa mtoto akateseka.