Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuhusu mimi mbona nimejieleza sana kwenye jukwaa hili jamani ! CV yangu ni fupi tu , mimi ni kijana Msomi na Tajiri ambaye ninamiliki kiwanda cha bidhaa zinazouzwa Ulaya tu , Kiwanda kiko Mbozi Road Temeke , DSM , nina Makazi Tanzania , (Tandika mwembeyanga na Kyela ) , Johannesburg , Ottawa , London na Marlyland .
Viongozi wako wananifahamu vizuri mno .
uwiano unao zingatia vigezo, sifa na ujuzi, na kwa zama hizi bila shaka wasomi waenye sifa wa aina zote wapo wengi sana hakuna kisingizio, hizi sio zama za miaka ya 61, lazima mahitaji yaendane na zama tulizo nazo hivi sasa ili kuzidi kuimarisha umoja wetu na mshikamano kama Taifa moja.Kwahiyo watu wasiteuliwe kwa uwezo iwe kwa uwiano wa dini? shame on you
mwana na mkunda ahoNi msukuma kutoka kanda pendwa..ni hayo tu
Ni utaratibu wa kawwida miaka yote... siyo kiti cha ajabu na hakuna chukiHii kumpandisha mtu na kumteua haitaleta chuki kwa waliokuwa tayari Wana cheo hicho??
Wabaguzi hamkosekaniMkingule kaondolewa kumpisha Mzanzibari
Sio Ubaguzi Ndio Ukweli Wenyewe HuoWabaguzi hamkosekani
Siyo Msukuma, ni mtu wa masasi (makua)Ni msukuma kutoka kanda pendwa..ni hayo tu
Aliwekwa na nani???Mkingule kaondolewa kumpisha Mzanzibari
Mmmmh!! ThibitishaSiyo Msukuma, ni mtu wa masasi (makua)
ndiyo mambo yanavyokwendaga, ni kuishi vizuri na boss wako na kuchapa kazi !! hongera kwake ila tunataka jeshi ligeuke liwe chanjo cha technologia na ubunifu nchini - sina uhakika kama Jeshi lina kiwanda hata kimoja, au limeshiriki vipi kwenye sera ya viwanda ya Taifa.Nadhani ni pendekezo la aliyetoka,natumai kahusika pakubwa kumshauri mh rais.
Tembelea vikosi vya kamandi ya jkt utayashuhudia yote hayondiyo mambo yanavyokwendaga, ni kuishi vizuri na boss wako na kuchapa kazi !! hongera kwake ila tunataka jeshi ligeuke liwe chanjo cha technologia na ubunifu nchini - sina uhakika kama Jeshi lina kiwanda hata kimoja, au limeshiriki vipi kwenye sera ya viwanda ya Taifa.
Sina uhakika pia kama jeshi linazalisha zao la Kilimo lolote kubwa liwe la Chakula ama Biashara la kimkakati nchini - haya ni mambo ambayo jeshi linatakiwa kufanya wakati wa kipindi cha amani.
Tuwasiliane nikupeleke kwao pale Masasi😊Mmmmh!! Thibitisha
😂😂😂Duh Mama Katubwaga Watabiri Wakina Sheikh Yahya [emoji1787][emoji1787]
Kapandishwa kutoka Meja jenerali kawa Jenerali
Mwenzake kapandishwa kutoka Meja jenerali kawa Luteni Jenerali
Hii ki-protocal imekaaje....??? hajarukishwa Cheo huyu mwamba
Sio kweli. Labda General for now ni mmoja tuKwa wale wasioelewa, Lt General anakuwa mmoja ktk jeshi la TZ. Kwa hiyo sio kweli kuwa amewaruka Lt Generals akamchukua Major General.
Kupata hizi info ni mpaka ufunge safari kiongozi ?Tembelea vikosi vya kamandi ya jkt utayashuhudia yote hayo
Nyerere hakuwai Kupinduliwa katika utawala wake yale ya mwaka 1964 yalikuwa maasi ya Jeshi therefore get your fact right and that NYTimes article haionyeshi Kama Nyerere alipinduliwa.