Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

Kuhusu mimi mbona nimejieleza sana kwenye jukwaa hili jamani ! CV yangu ni fupi tu , mimi ni kijana Msomi na Tajiri ambaye ninamiliki kiwanda cha bidhaa zinazouzwa Ulaya tu , Kiwanda kiko Mbozi Road Temeke , DSM , nina Makazi Tanzania , (Tandika mwembeyanga na Kyela ) , Johannesburg , Ottawa , London na Marlyland .

Viongozi wako wananifahamu vizuri mno .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo watu wasiteuliwe kwa uwezo iwe kwa uwiano wa dini? shame on you
uwiano unao zingatia vigezo, sifa na ujuzi, na kwa zama hizi bila shaka wasomi waenye sifa wa aina zote wapo wengi sana hakuna kisingizio, hizi sio zama za miaka ya 61, lazima mahitaji yaendane na zama tulizo nazo hivi sasa ili kuzidi kuimarisha umoja wetu na mshikamano kama Taifa moja.

kila mtanzania mwenye sifa anao wajibu wa kulijenga Taifa sawa na mwengine, hakuna mwenye haki zaidi ya mwengine.

Tunacho kishauri hapa ni katika kuimarisha umoja na uzalendo imara, na huo unatokuwepo kwa wale wote wenye sifa kushiriki bila kutengwa kwa maksudi au hila.
 
Nadhani ni pendekezo la aliyetoka,natumai kahusika pakubwa kumshauri mh rais.
ndiyo mambo yanavyokwendaga, ni kuishi vizuri na boss wako na kuchapa kazi !! hongera kwake ila tunataka jeshi ligeuke liwe chanjo cha technologia na ubunifu nchini - sina uhakika kama Jeshi lina kiwanda hata kimoja, au limeshiriki vipi kwenye sera ya viwanda ya Taifa.
Sina uhakika pia kama jeshi linazalisha zao la Kilimo lolote kubwa liwe la Chakula ama Biashara la kimkakati nchini - haya ni mambo ambayo jeshi linatakiwa kufanya wakati wa kipindi cha amani.
 
Tembelea vikosi vya kamandi ya jkt utayashuhudia yote hayo
 
Mmmmh!! Thibitisha
Tuwasiliane nikupeleke kwao pale Masasi😊

Kazi ya jeshi alianzia wilaya ya jirani ya Nachingwea; akaoa mwanamke wa kimwera akazaa naye watoto wawili.

Baadaye akahamishwa.

Ni mtu wa kule na hata baba yake amezaliwa kule na akafia kule na alikuwa mwanajesshi wa cheo cha juu pia
 
Hivi balozi anakaa mda gani tokea ateuliwe mpaka kuripoti sehemu yake mpya ya kazi?
 
Kapandishwa kutoka Meja jenerali kawa Jenerali

Mwenzake kapandishwa kutoka Meja jenerali kawa Luteni Jenerali

Hii ki-protocal imekaaje....??? hajarukishwa Cheo huyu mwamba

Mwalimu Kashasha wa kutuelezea hayupo around
 
Nyerere hakuwai Kupinduliwa katika utawala wake yale ya mwaka 1964 yalikuwa maasi ya Jeshi therefore get your fact right and that NYTimes article haionyeshi Kama Nyerere alipinduliwa.

Kwani kupinduliwa kukoje? Ulitaka mpaka Nyerere akamatwe na wanajeshi wake kama yule wa Burkina Faso?
 
Hii staili ya kupandisha vyeo na kuteua alianza JPM ina maana ile safu ya juu haiamiki kwa Cha cheo Cha CDF.......??????
Kuanzia brigadier unaweza kuwa CDF. Na sio wakati wa jiwe tu, tokea awamu ya nyerere ni hivyo
 
Back
Top Bottom