Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Unamasihara wewe.sehemu watu wanapata pesa ni madini ikifuatiwa na kilimo na uvuvi
Tunaposema kozi za masikini tunamaanisha watu wasio na connection pia so tunaposema wasome
Afya
Education
Kilimo
Uvuvi
Maana yake ni kuwa hizo ndio ajira ambazo zipo kwa wingi ambazo inawezekana kupata bila connection au ugumu saana
Sio kwamba tunazidharau hizo kada

Just imagine mtu anaesoma Human resources bila connection sio rahisi kupata kazi sehemu kama Tasac,TRA,Tpdc,Tpa na nk
 
Kwani wameajiri watu 21,000 kwa mwaka ama wameajiri 21K Afya na Elimu?

Watu 8000 Afya ni wengi mno, vyuo vya Afya hata hawana graduates wengi.

Hata 13k walimu si Haba.
 
Hiyo haipo mkuu ndiomaana nafasi huwa zinatangazwa wakati Kuna reserve
 
Kwa sababu za kiusalama naomba iwe classified maana natumia jina langu halisi humu, na wapekenyuzi wengi, thanks
Ok basi tuachane na hiyo unayofanya Kazi. Nisaidie basi majina ya NGO's zingine ambazo naweza peleka hata CV za maswala ya elimu.
 
Mods wafungulieni wana mliowapiga pin/ban na wao wachangie nyuzi za ajira
 
Ili kukabiliana na tatizo la ajira, serikali yapaswa ajiri angalau watu 50,000 kila mwaka.

Na ibadilishe mfumo wa ajira kutoka kuwa wa kudumu hadi wa mkataba maana kuna watu wanaridhika sana
Halafu watalipwa nini?
 
Usiwe na makasiriko kijana, tuliaa tu ajira inakuja na utaajiriwa kama utakidhi vigezo na mashart

Tatizo ukisha ajiriwa kwa mkataba, mkataba ukiisha we ndio utakwenda kuroga ili uajiriwe milele.
Mwishowd nimgonge binti yako,we nifatilie
 
Tatizo kila mwaka hakukosekani zengwe kwenye hizo ajira zao. Mfano anaajiriwa mhitimu wa mwaka 2022, halafu anaachwa yule wa 2016!!

Hata vigezo na masharti katika hizo ajira, havijulikani! Sijui ndiyo vimemo na rushwa ndiyo kipaumbele kikuu cha kuajiriwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…