Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

alooohh hyaa maambo n Mungu tuu atafanikisha kiurahisii
 
Hapo umenena. Penye nia ipo njia. Niishie hapo. Kama nia ingekuwepo njia ingekuwepo.
 
Mpaka sasa hakuna tangazo rasmi lenye kutoa maelekezo vizuri ya namna ya kuomba, vigezo, mahitaji, n.k
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ajira za kimaskini si hutaki unataka ufanye kazi hotel za kitalii[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata cheti sina, naombaje sasa ajira?

Na hata hivyo, taaluma yangu haiko ktk ajira hizo, hvyo niko nje automatically
 
Me nliomba mwaka jana,sas hapa tunatumia taarifa za mwaka jana kuingia kwny mfumo au naanza upya kujisajir? Msaad tafadhali anaejua
 
Hapo umenena. Penye nia ipo njia. Niishie hapo. Kama nia ingekuwepo njia ingekuwepo.
Maana haiingii akilini unatoa ajira 13,000 za walimu wakati kuna ongezeko la wanafunzi 300,000 darasa la Kwanza

Ongezeko la wanafunzi laki 2 Form 1

Patakuwa na ongezeko la wanafunzi 60000 Form 5

Serikali yatakiwa iangalie upya ukuaji wa miji, watu, miundombinu vinginevyo tutatengeneza tatizo kubwa sana huko mbeleni ambapo wao hawatakuwepo
 
mliofanya aptitude tupen mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…