Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Maana haiingii akilini unatoa ajira 13,000 za walimu wakati kuna ongezeko la wanafunzi 300,000 darasa la Kwanza

Ongezeko la wanafunzi laki 2 Form 1

Patakuwa na ongezeko la wanafunzi 60000 Form 5

Serikali yatakiwa iangalie upya ukuaji wa miji, watu, miundombinu vinginevyo tutatengeneza tatizo kubwa sana huko mbeleni ambapo wao hawatakuwepo
Mkuu Tanzania population inaongezeka kwa kasi Sana hata wangetoa ajira laki moja bado tatizo litaendelea ku-exist
 
mfumo wa ajira kutoka kuwa wa kudumu hadi wa mkataba maana kuna watu wanaridhika sana
Hii naiunga mkono na wale wapewao huduma ndio waamue kuwa mtu wao waendelee naye ama apishe. Nawaza na ubunge ingekuwa mpaka unastaafu.
Yaani iwepo website ambayo watu wanatoa ya kwao ya moyoni kuwa mie fulani ana hudumia sivyo
 
Nadhani Tanzania hatujafika huko bado ,kwanza Mimi naona swala la Ajira liendelee kwa mtindo na Serikali itengeneze fursa katika sekta mbalimbali , kuanza kuona Ajira ya ualimu au u nurse ni Jambo la muhimu sababu kuu nikutokana na watu kuwa hawana mbadla wa Ajira

Hivyo ground ikiwa balanced Hakuna Mtu ataenda kuomba hizo Ajira za laki nne kwa mwezi za ualimu
 
We kataa peke yako
Ayaaa mkuu subr nishushe boneti
1681205933190.jpg
 
Baada ya kuomba mara sita za mwanzo na kukosa niseme tu hakuna namna nitapata wakati huu hivyo kila la kheri kwa mtakao omba, ila kuna ka umasikini fulani hivi tunajiwekea tukikimbilia kwenye ualimu mkijiongeza mtanielewa mi ni mwalimu nisie fundisha sasa
Pole omba mwaka huu utanikumbuKa mungu akatende miracle juu yako amen
 
Mkuu Tanzania population inaongezeka kwa kasi Sana hata wangetoa ajira laki moja bado tatizo litaendelea ku-exist
Bado tuko wachache twatakiwa tuongezeke zaidi tufike angalau milioni 80 kabla ya 2030
 
Tutaomba sawa.
Shughuli ni kupata.
Ila afadhali huyu anaajiri hata kama kuna kukosa mana sio wote lazima tupate.
Kila la kheri kwa waombaji nafasi zitakapotoka
 
Back
Top Bottom