Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Hakuna Mtu ataenda kuomba hizo Ajira za laki nne
Hivi unajua kila mtu huwa anafanya kazi fulani ama anatumikishwa ili apate zile basic needs.
Yaani binadamu ama kiumbe hai Kita obey your order pale tu kinapohitaji ama kinapata needs zake kutoka kwako. Na ndio Mana ukitaka hata ujue mkeo anakuheshimu awe na pesa chafu kuliko wewe.

Hata viongozi wanasiasa wakiona mtu Ana pesa kuwazidi wanajua hawana heshima kwake
 
Sure
 
Kusiwepo na upendeleo sasa, upendeleo unaleta watumishi makanjanja
 
Duh kama kweli vile, sijawahi kumuona nesi anaendesha Discovery 2,3,4,5,au Prado
 
Application zinaanza lini na dead line ni lini kwa afya?
 
Kwa kipindi kirefu jf kumekuwa na nyuzi za kuponda ualimu na member wengi humu waliunga mkono

Sasa nsubiri ule Uzi pendwa wa application za ualimu utakavyokimbia kasi.
 
Kila mtu atapitia njia yake ya kupata riziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…