Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

Wakuu ni mm sijaelewa au akili isha stack?

Ina maana waalimu wa arts hawaitajiki? Yani wale HGK, HKL

NIELEKEZENI KIPENGERE HIKI
SIJAELEWA

Kipengele cha 1.2 kipengere kidogo cha (iii) waalimu daraja la iii c wenye shahada ya ualimu wa Awali au Shule ya msingi
 
Ingia kwenye mfumo tuma maombi mengine achana nayo
 
Sasa HGk wapi jamani?
 
Unamasihara wewe.sehemu watu wanapata pesa ni madini ikifuatiwa na kilimo na uvuvi
 
Ili kukabiliana na tatizo la ajira, serikali yapaswa ajiri angalau watu 50,000 kila mwaka.

Na ibadilishe mfumo wa ajira kutoka kuwa wa kudumu hadi wa mkataba maana kuna watu wanaridhika sana
Hii ni rahisi Kwa ajira mpya. Waliosaini mikataba kisheria sio rahisi.. serikali italazimika kufwata sheria ya kuvyunja mkataba. Ambapo haina uwezo huo.

Ukitaka kuongelew jambo jipya zzlungumzia new hire
 
Mkuu omba, Mkuu omba Kwa kuwa kuomba ni Bure ,Omba mtangulize Mungu,huwezi Jua Awamu hii.
Nakuomba sana sana Uombe kaka
 
Uwe na adabu kidogo..watu wamesoma miaka 5 + na wanakula hela za maana we unadhani ni uhandisi tu ndio unahela

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Ili kukabiliana na tatizo la ajira, serikali yapaswa ajiri angalau watu 50,000 kila mwaka.

Na ibadilishe mfumo wa ajira kutoka kuwa wa kudumu hadi wa mkataba maana kuna watu wanaridhika sana
Usiwe na makasiriko kijana, tuliaa tu ajira inakuja na utaajiriwa kama utakidhi vigezo na mashart

Tatizo ukisha ajiriwa kwa mkataba, mkataba ukiisha we ndio utakwenda kuroga ili uajiriwe milele.
 
Pole omba mwaka huu utanikumbuKa mungu akatende miracle juu yako amen
Namshukuru Mungu nimeajiriwa na Ngo na maisha yanaenda sasa, mshahara wa huko ni mdogo saana japo nilikua na upigania ila kuna kaumasikini huko kwa walimu, ngo niliyopo inahusiana na maswala ya elimu napita huko vijijini naona
 
Mkuu omba,
Mkuu omba Kwa kuwa kuomba ni Bure ,Omba mtangulize Mungu,huwezi Jua Awamu hii.
Nakuomba sana sana Uombe kaka
Namshukuru Mungu nimeajiriwa na Ngo na maisha yanaenda sasa, mshahara wa huko ni mdogo saana japo nilikua na upigania ila kuna kaumasikini huko kwa walimu, ngo niliyopo inahusiana na maswala ya elimu napita huko vijijini naona
 
Napataje kazi za NGO aisee life gumu sana
Namshukuru Mungu nimeajiriwa na Ngo na maisha yanaenda sasa, mshahara wa huko ni mdogo saana japo nilikua na upigania ila kuna kaumasikini huko kwa walimu, ngo niliyopo inahusiana na maswala ya elimu napita huko vijijini naona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…