Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Acha zako wewe,Nani wa kumtisha Rais wetu? Nani mwenye ubavu wa kuisumbua serikali yetu? Bila Rais Samia kutoa ruhusa ni Nani angeingia Barabarani na kupanda jukwaani kuongea? Nania huyo angekiuka Amri ya serikali hii shupavu madhubuti na Imara? Au umekuja hapa kupima upepo na wenzio wa aina yako
Serekali shupavu ya kuvunja sheria, mikutano ya kisiasa ipo kisheria. Sasa kuna ushupavu gani wa kuvunja sheria?