Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ritz, mikutano imekuibua!!!!!Haya Ufipa mradi wenu umeruhusiwa wa kukusanya michango.
Acha uongo wako hapa wewe,Chama gani Cha kujitambua hicho? Chama gani kingeweka mguu wake jukwaani pasipo ruhusa ya mh Rais wetu mpendwa?CCM janja janja Sana ,walishajua 2023 vyama vya siasa vinavyojitambua vingefanya mikutano bila kujali outcome , Ili Hali ni kwa Mjibu wa katiba, so wameovertake Ili kupata credit tu,
Acha utotoBaada ya kuona watu wamejipanga kisawa sawa kuanza mikutano ya hadhara iwe kwa heri au kwa shari, hatimaye ameamua kukwepa fedheha ya kuruhusu mikutano hiyo kwa lazima.
Napenda kumkosoa rais wangu kwenye hili.View attachment 2467839
#LIVE: Rais Samia na viongozi wa kisiasa
Leo Jumanne, Januari 3, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Samia amesema; "uwepo wangu leo hapa mahali nimekuja kufanya ruhusa ya mikutano hii...
Hoja nzuri,Unadhani hiyo KATIBA MPYA itapatikana kabla ya 2025. Mashudu
Tutakutana hapa..Sikuwahi kujuwa kama wewe naye ni mpumbavu kiasi hiki.
Uwezi kufananisha nchi ambazo wanasiasa wake 99%+ wanaelewa ‘political etiquette’ ata kama hakuna sheria rasmi.Mbona marekani siasa kila siku Tena wenyewe wa uchaguzi Mara mbili ndani ya awamu moja, na wanamaendeleo?. Kwa hivyo tubaki na CCM pekee yake?
Mnazuia watu kufanya mikutano ikifika uchaguzi mnaiba kura. Si bora mfute hiyo mfumo wa siasa wa vyama vingi?.
Kuna watu hapa ni kenge mnoo.. uwezo wao wa ku assess mambo ni ni mdogo mno..Huwezi kufanya maridhiano yeyote na CCM ukafanikiwa.
Acheni utoto..Hureeeeeee! Hongera mama ameupiga mwingi. Tuliwamisi sana wapinzani kwenye majukwa ya kisiasa. Ccm wajipange kukabiliana na nguvu mpya za upinzani
Mh Judge WARIOBA hatimaye anarudi kwenye Tume, mchakato na Rasimu yake inarudi mezani.Hayo ni mengineyo, Cha muhimu mchakato unaanza hivi karibuni. Kwa kuteua tume ya katiba itakayo anaza kupokea maoni.
Usitafute ugomvi na mumewe!!Naan mkuu,Nipo mkuu na kampeni ya kumfanya mama Awe na kuitwa mama Wa Taifa
Bado kidogo tu, anaachia Nchi.Acha zako wewe,Nani wa kumtisha Rais wetu? Nani mwenye ubavu wa kuisumbua serikali yetu? Bila Rais Samia kutoa ruhusa ni Nani angeingia Barabarani na kupanda jukwaani kuongea? Nania huyo angekiuka Amri ya serikali hii shupavu madhubuti na Imara? Au umekuja hapa kupima upepo na wenzio wa aina yako