Acha zako wewe,Nani wa kumtisha Rais wetu? Nani mwenye ubavu wa kuisumbua serikali yetu? Bila Rais Samia kutoa ruhusa ni Nani angeingia Barabarani na kupanda jukwaani kuongea? Nania huyo angekiuka Amri ya serikali hii shupavu madhubuti na Imara? Au umekuja hapa kupima upepo na wenzio wa aina yako
Hakuna mwenye ubavu wa kumtingisha Rais Samia,Acheni kujifariji hapa.Ni muda wa viongozi wa chadema kula mema ya wafuasi wao kupitia michango isiyo na hesabu Wala mrejesho wa kilichokusanywa,Tena saiz michango yao inalindwa na makomandoo ili isidondoke hata miaHuyu samia mwepesi kama karatasi yani katishwa kidogo tu kaachia
Kwani marekani huko baada ya kumaliza uchaguzi ulishaona wanaanza kuzurula zurula mitaani Kama nyinyi wapinzani? Mmepewa ruhusa ya kwenda kujenga hoja na siyo kwenda kutukana matusi utafikiri mmedumbukia kwenye mtaro wa maji takaSerekali shupavu ya kuvunja sheria, mikutano ya kisiasa ipo kisheria. Sasa kuna ushupavu gani wa kuvunja sheria?
Umekuja mzee baba [emoji2]Haya Ufipa mradi wenu umeruhusiwa wa kukusanya michango.
Hapana, tatizo la huku mitandaoni ni hilo. Ukiunga mkono mtu haina maana unakubaliana nae kila kitu. Muulize hata Lema kama anakubaliana kila kitu na Mbowe.Lkn wewe ni kati ya watu waliokuwa wanasifia kila jambo alilofanya Jiwe
Wenyewe ndio wanavyopenda, ukiwa peti peti unaenda nao vizuri then uchaguzi wanawakazia, watasusa, watatishia unawaita mezani mnagonga juice na ubeche na picha mambo yanaenda.Samia ana akili sana kwenye eneo hilo la kuwachezea wapinzani
Hapana nyinyi mlizidi sana kuwa CHAWAHapana, tatizo la huku mitandaoni ni hilo. Ukiunga mkono mtu haina maana unakubaliana nae kila kitu. Muulize hata Lema kama anakubaliana kila kitu na Mbowe.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Njaa zinawasumbua nyinyi uvccm shenziWenyewe ndio wanavyopenda, ukiwa peti peti unaenda nao vizuri then uchaguzi wanawakazia, watasusa, watatishia unawaita mezani mnagonga juice na ubeche na picha mambo yanaenda.
JPM alipenda maguvu hata maeneo yasiyotaka maguvu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wachache wataelewa hapaBaada ya kuona watu wamejipanga kisawa sawa kuanza mikutano ya hadhara iwe kwa heri au kwa shari, hatimaye ameamua kukwepa fedheha ya kuruhusu mikutano hiyo kwa lazima.
Marekani na Tanzania ni tofauti sana.Kwani marekani huko baada ya kumaliza uchaguzi ulishaona wanaanza kuzurula zurula mitaani Kama nyinyi wapinzani? Mmepewa ruhusa ya kwenda kujenga hoja na siyo kwenda kutukana matusi utafikiri mmedumbukia kwenye mtaro wa maji taka
Kama Ni tofauti mbona mnatoleaga mifano kupitia hiyo hiyo marekaniMarekani na Tanzania ni tofauti sana.
Hapo ni sawa na kulinganisha tembo na sungura.
Kwani marekani huko baada ya kumaliza uchaguzi ulishaona wanaanza kuzurula zurula mitaani Kama nyinyi wapinzani? Mmepewa ruhusa ya kwenda kujenga hoja na siyo kwenda kutukana matusi utafikiri mmedumbukia kwenye mtaro wa maji taka
Hofu ya nini kama tunajenga nchi na taifa mojaBahati nzuri dhana hii imepata baraka zote za chama changu.
Tuliunda kikosi kazi lakini tulikuwa na mazungumzo na chama kingine pembeni, Serikali inatakiwa kutenda haki kwa watu wote bila kuacha mila na desturi zetu za kitanzania.
🤣🤣🤣🤣Huna lolote ujualo kuhusu Marekani, ww baki kwenye hizi siasa zako za kishamba huku maporini. Kila siku Trump anafanya mikutano ya wazi huko US. Huwezi kujua hayo mambo maana umakalia kusikiliza redio Tanzania, na kutazama TBC1 hivyo huwezi kujua lolote.
Kwani huku hamkuwa mkizunguka na matisheti yenu ya kutaka katiba mpyaHuna lolote ujualo kuhusu Marekani, ww baki kwenye hizi siasa zako za kishamba huku maporini. Kila siku Trump anafanya mikutano ya wazi huko US. Huwezi kujua hayo mambo maana umakalia kusikiliza redio Tanzania, na kutazama TBC1 hivyo huwezi kujua lolote.
Vijana wengi wenye mihemko wanataka mapambana na wakati mapambano yenyewe hawayawezi.Umeongea ukweli mtupu🤝
Hata wale wanaombeza Mheshimiwa Mbowe aliyeyakubali Maridhiano hayo na kuyaendeleza, niwaulize swali Moja tu, je chama Cha Chadema kilipotangaza UKUTA, wakati ule, ni wangapi walijitokeza mabarabarani Ili wapigwe virungu na Jeshi la Polisi?😎