Rais Samia aruhusu vyama vya siasa kufanya Mikutano ya hadhara

Rais Samia aruhusu vyama vya siasa kufanya Mikutano ya hadhara

Ni swala la muda atawageuka hamtaamini, watu wenye jazba na kutojiamini wanatumia sana Dola.

Ngoja tuipe hatua hii mtizamo chanya ila wenye angalizo madhubuti, na kwa hili ni muda sahihi kwa ndugu Nape kupewa Ukaribu Mkuu wa CCM, au Makonda kati ya hao wawili mmoja anafaa sana, vugu vugu la sasa si la kawaida CCM ijipange haswaa
 
Mbowe kwa sasa anaeleweka sana, kaonyesha ukomavu wa kisiasa ila tatizo bado genge lililo mzunguka hawataki kubadilika!!! wanadhani siasa ni uadui!
wanadhani siasa ni ukorofi na kupwayuka!!

Mbowe anao wajibu wa kuwaelimisha walio mzunguka.

wanasiasa hawapaswi kulazimisha mambo wanayo yataka wao bali wanapswa wakubali pia hoja za chama kinacho tawla.
Upo sahihi sana lkn bado umesahau kabisa kuwa hata ndani ya ccm bado kuna watu wamekasilika kwa hatua ya mama Samia.

Wao wananufaika na hii mikwaruzano kati ya cdm na ccm.
 
Sasa tupeleke proposal kwa mabeberu tupate walau vijisenti kuonesha utawala bora.

Mabeberu oye, samia oye, vyama vyote oyee
 
Rais Samia katika eneo analofanya vizuri sana sana ni jinsi anavyo handle wanasiasa. Hili ni eneo ambalo JPM lilimshinda, aliamini kwenye matumizi ya nguvu hata maeneo yanayohitaji akili ndogo tu.

Hata jinsi alivyocheza kwenye uchaguzi wa juzi wa CCM amehakikisha kila kundi linajisikia kushinda. Hii initiatives regardless ya uwezekano wa delaying tactics lakini anazicheza kwa akili kubwa sana.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom