Rais Samia aruhusu vyama vya siasa kufanya Mikutano ya hadhara


Hilo litakuwa kosa lake yeye, ila CHADEMA wamemaliza sehemu yao.
 
Hamna kitu humoo.. mkawa 'hadaae' watanzania wajinga..
 
Wameshika mpini Kwa mamlaka yapi kama wananchi wenye mamlaka ya mwisho wanataka katiba
 
Haki kwenye uchaguzi,watanamchi kudhulumiwa haki ya wale waliowachagua rais simamia sana hilo.Ningeweza kukufikia ningekwambia kitu kimachofanyika kwenye chaguzi.Ndo maana watanzania wanaipuuza nchi yao
 
Ni vema tusubiri tuone !!
 
CCM janja janja Sana ,walishajua 2023 vyama vya siasa vinavyojitambua vingefanya mikutano bila kujali outcome , Ili Hali ni kwa Mjibu wa katiba, so wameovertake Ili kupata credit tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…