Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba hiyo isimamiwe na nani? Hakuna nchi haina katiba mzee, usijitoe ufahamu.Acha uongo. Mbaya anajulikana ni CCM . Ndio chanzo Cha yote haya. Wangekubali katiba mpya kipindi kile Leo nchi ingekuwa mbali. Tatizo la hii nchi ni ccm fullstop.
Wananchi gani hao wanaotaka katiba mpya? Una uhakika majority ya Watz wanahitaji huo ujinga?Wameshika mpini Kwa mamlaka yapi kama wananchi wenye mamlaka ya mwisho wanataka katiba
Zzk ni mnafiki mkubwaVipi kuhusu tume huru ya zitto kabwe imepuuzwa?
Baada ya mwl JK Nyerere anayevaa viatu vyake ni mh Mbowe.Mbowe apewe heshima yake kajitahidi Sana kuondoa ego yake.
Ni ulevi tu wa madarakaWameshika mpini Kwa mamlaka yapi kama wananchi wenye mamlaka ya mwisho wanataka katiba
Hawastahili heshima yoyote, CCM ndio imeamua, mlishaufyata nyieUnajua unachoongea?. Haya ni matunda ya harakati za CHADEMA. Mama alikutana na Lissu pia akakutana na Mbowe unajua waliongea Nini? CHADEMA wapewe heshima yao wamepambana Sana mpka leo tumefikia hapa.
Tuwape CHADEMA heshima yao bwana. Akina Zitto walisema wanataka katiba mpya baada ya 2025 au umesahau?. Ni CHADEMA pekee yao walisimamia ajenda ya katiba mpya.
Je kwa sasa unaamini wapo hao watu wa kujibu hoja ?! Tusubiri tuone !!Awamu ya tano ilizuia mikutano ya kisiasa kwakuwa ilijaza madomo zege ndani ya chama, watu wasioweza kujenga hoja na kujibu hoja makini za vyama vya upinzani.
Kwa swali lako hili wewe siyo mtanzaniaWananchi gani hao wanaotaka katiba mpya? Una uhakika majority ya Watz wanahitaji huo ujinga?
Unadhani hiyo KATIBA MPYA itapatikana kabla ya 2025. MashuduUnajua unachoongea?. Haya ni matunda ya harakati za CHADEMA. Mama alikutana na Lissu pia akakutana na Mbowe unajua waliongea Nini? CHADEMA wapewe heshima yao wamepambana Sana mpka leo tumefikia hapa.
Tuwape CHADEMA heshima yao bwana. Akina Zitto walisema wanataka katiba mpya baada ya 2025 au umesahau?. Ni CHADEMA pekee yao walisimamia ajenda ya katiba mpya.