Official rajabsembe
New Member
- Dec 28, 2022
- 3
- 0
Mwenye uzi wake kaandika mzee wa ubweche ameshawasili
[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye uzi wake kaandika mzee wa ubweche ameshawasili
Mkuu sipingi mawazo ila nakwambia ilikua swala la mda tu, hivi mfano chadema ingeamua KILA Kijiji au mtaa tz nzima FANYA mikutano ya adhala KWa siku MOJA ,nini kingezuia, ?No i don't think so, ni kwa vile kiongozi alie madarakani ni mwenye mtazamo tofauti na alietangulia.
Swala la kuanza kufanya mikutano na maandamano mbali mbali halikuanza kupangwa leo. Wengi walijaribu lkn walizuiwa kufanya hiyo mikutano hata ile ya ndani, na wengine walifunguliwa kesi za kufanya mikutano bila kibali bila wapinzani wenzao waliopo nje kufanya chochote.
So kwa sasa ni kushukuru tu kutokana na aina ya kiongozi tulie nae, bila maamuzi yake hakuna ambae angefanya mkutano hata wewe mwenyewe rohoni unalijua hilo mkuu.
Huu mwaka tu 2026, chahwa wote wa ccm hawana nafasi ya kubishana na mpakwa mafuta wa Bwana , KAZI imeishaisha kilichobaki ni mda tu, mtaanza ishi KWa aibu sanaAcha uongo wako hapa wewe,Chama gani Cha kujitambua hicho? Chama gani kingeweka mguu wake jukwaani pasipo ruhusa ya mh Rais wetu mpendwa?
Hata wafungwa wanapewa maji umeme chakula na mahitaji mengine Bure ,kama unadhani ndo hitaji kuu la binadamuWatanzania tunahitaji maji,umeme wa uhakika,huduma bora za kijamii na uchumi imara sio kutafuta sifa za kisiasa kwa kufurahisha magenge.
ndiyo ni upumbafu kweliKwahiyo unakiri mlifanya upumbavu kwenda Dom..
Mkuu ' Mwl Athumani Ramadhani' ninakuaminia sana katika hili la "Umoja na Mshikamano", nami niko bega kwa bega nawe juu ya hili.Hii Ndio Tanzania ninayoijua Mimi!
Umoja na mshikamano ndio ngao yetu!!
Hebu twende Sasa!!
Mkuu kwa vijana wa miaka hii amini kwamba hakuna ambae angekuwa tayari kuweka maisha yake hatarini dhidi ya serikali.Mkuu sipingi mawazo ila nakwambia ilikua swala la mda tu, hivi mfano chadema ingeamua KILA Kijiji au mtaa tz nzima FANYA mikutano ya adhala KWa siku MOJA ,nini kingezuia, ?
By the way Kiongozi tulienaye sio kwamba ni mzuri kuliko wengine ,bali yapo mazingira yanakulazimu FANYA Jambo hata kama hulipendi
Asante sana Mkuu , Tunafuatilia
Mkuu binafsi siwezi kurubuniwa na mtu au kundi flani, but nitafanya kitu kile nimeamua nikiwa na akili timam ,Mkuu kwa vijana wa miaka hii amini kwamba hakuna ambae angekuwa tayari kuweka maisha yake hatarini dhidi ya serikali.
Usirubuniwe na maandalizi ya mitandaoni ambayo mwisho wa siku wale wanaohimiza wenzao mitandaoni huwa hawatokei mkutanoni kwa kuogopa kibano cha polisi.
Mifano ni mingi nafikiri hata wewe unajua. Labda upinzani wa miaka ile ya 2012, 2013 hadi 2015. Ila kwa sasa hakuna ambae angeona gari la polisi nje au barabarani afu aende mkutanoni, nakuapia mkuu hakuna, huo ndio ukweli.
Tushukuru raisi kaamua kutumia busara zake, vinginevyo hakuna ambae angefanya chochote kama ilivyokuwa wakati ule wa kesi ya Mbowe, Ukuta nk.
Sasa hapa utashangaa uvccm wanaumiaHii Ndio Tanzania ninayoijua Mimi!
Umoja na mshikamano ndio ngao yetu!!
Hebu twende Sasa!!
Moyo wa mtu msitu mkuu, sina uhakika kama haya unayoyasema ni ya kweli au la. Ila sasa je ungepambana peke yako. Maana kama nilivyokwambia kuna watu ni mahodari wa kuchagiza jambo ila unapofika muda wa vitendo mtu anaingia mitini na kukuacha peke yako.Mkuu binafsi siwezi kurubuniwa na mtu au kundi flani, but nitafanya kitu kile nimeamua nikiwa na akili timam ,
Ukifa KWa mateso ila KWa haki ni neema Sana, na ndo unakua mpango wako wa kifo tangu TOKA tumboni mwa mama mzazi wako, mengine hua ni mapambio kwamba amekufa kisa flani,
Nasema tena ilikua swala la mda tu , naongea hivi WENDA ukachukulia simple ila yapo mengi ndani ya faragha yangu na Mungu wangu,
Mkuu , serikali yangu ya kiroho ni kubwa kuliko serikali zote za kidunia , naishia apa,Moyo wa mtu msitu mkuu, sina uhakika kama haya unayoyasema ni ya kweli au la. Ila sasa je ungepambana peke yako. Maana kama nilivyokwambia kuna watu ni mahodari wa kuchagiza jambo ila unapofika muda wa vitendo mtu anaingia mitini na kukuacha peke yako.
Narudia tena pengine wewe ungeweza lkn vijana wenzako wa mitandaoni wasingeweza. Believe me mkuu.
Ok mkuu, nakuaminia bingwa wanguMkuu , serikali yangu ya kiroho ni kubwa kuliko serikali zote za kidunia , naishia apa,
[emoji2957][emoji2957] SASA MATANGAZO YA KUNYA AKILI NA KUBAKISHA [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90] NA LEGACY YAKE YA KUNYA AKILI.......NANI ANAVITAKA LABDA MZAZUZU TUHUYU MAMA YETU HUYU... YAANI WATU HAWANA HATA HABARI NAE YANI... TANGAZO LINALOMHUSU HATA HALISISIMUI... ZAIDI YA KUZIDI KUTIA HASIRA TU...
KWA SABABU HATA UKISEMA UKAMSIKILIZE ATASEMA NINI... HAKUNA LA MAANA.
Hakika!Huu ni wakati wa kuijenga Tanzania yetu ili isiparaganyike na kusambaratika huko mbeleni. Bila amani hakuna siasa wala furaha.
Pewa huo uhuru basi alafu unyimwe hayo maji na chakula tuoneHata wafungwa wanapewa maji umeme chakula na mahitaji mengine Bure ,kama unadhani ndo hitaji kuu la binadamu
Binadamu mwenye uhuru na akili timamu hashindwi kujitafutia mahitaji yake mwenyewe,Pewa huo uhuru basi alafu unyimwe hayo maji na chakula tuone