Kikosi kipya cha mawaziri 2025 baada ya uchaguzi
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
π Waziri - Mh. Ridhiwani Jakaya Kikwete
π©βπΌ Naibu - Regina Ndege Kwarai
Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
π Waziri - Prof. Kitila Mkumbo
π©βπΌ Naibu - Pius Steven Chaya
Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana
π Waziri - Joel Nanauka
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
π Waziri - Mh. Mhandisi Hamadi Masauni
π©βπΌ Naibu - Dkt. Festo Dugange
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu
π Waziri - Mh. William Lukuvu
π©βπΌ Naibu - Ummy Nderiananga
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano
π Waziri - Mh. Deus Sangu
π©βπΌ Naibu - Mh. Rahma Riadh Kisuo
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
π Waziri - Mh. Prof. Riziki Sailas Shemdoe
π©βπΌ Naibu - Mh. Reuben Nhamanilo (Elimu)
π©βπΌ Naibu - Mh. Dr. Jaffar Rajab Seif (Afya)
Wizara ya Fedha
π Waziri - Mh. Balozi Khamis Musa Omar
π©βπΌ Naibu - Mh. Laurent Deogratius Luswetula
π©βπΌ Naibu - Mh. Mshamu Ally Munde
Wizara ya Mambo ya Nje
π Waziri - Mahmood Thabit Kombo
π©βπΌ Naibu - Dkt. Ngwaru Jumanne Magembe
π©βπΌ Naibu - Mh. James Kinyasi Millya
Wizara ya Mambo ya Ndani
π Waziri - Boniface Simbachawene
π©βπΌ Naibu - Denis Lazaro Londo
Wizara ya Kilimo
π Waziri - Daniel Chongolo
π©βπΌ Naibu Waziri - Mh. David Silinde
Wizara ya Maji
π Waziri - Mh Juma Aweso
π©βπΌ Naibu Waziri - Mh. Kundo Andrew Mathew
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
π Waziri - Mh. Raymond Simon Nyansao
Wizara ya Ujenzi
π Waziri - Abdallah Ulega
π©βπΌ Naibu - Mh. Godfrey Msonge
Wizara ya Uchukuzi
π Waziri - Prof Makame Mbarawa
π©βπΌ Naibu - Mh. David Mwakiposa
Wizara ya Viwanda na Biashara
π Waziri - Mh. Judith Salvio Kapinga
π©βπΌ Naibu - Mh. Patrobas Katambi
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
π Waziri - Mh. Angela Kairuki
π©βπΌ Naibu - Mh. Sweetbert Zakaria Mkama
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
π Waziri - Dorothy Gwajima
π©βπΌ Naibu - Mh. Marry Mahundi
Wizara ya Afya
π Waziri - Mohammed Mchengerwa
π©βπΌ Naibu - Dkt. Florance George Samizi
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
π Waziri - Prof. Adolf Mkenda
π©βπΌ Naibu - Wanu Hafidh Ameir
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
π Waziri - Dkt. Leonard Akwilapo
π©βπΌ Naibu - Kasper Kasper Muya
Wizara ya Mali Asili na Utalii
π Waziri - Mh. Asha Kijaji
π©βπΌ Naibu - Hamad Hassan Chade
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
π Waziri - Prof. Palamagamba Kabudi
π©βπΌ Naibu - Hamisi Mwinjuma
π©βπΌ Naibu - Paul Makonda
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
π Waziri - Dkt. Bashiru Ally Kakurwa
π©βπΌ Naibu - Mh. Ngwasi Damas Kamani
Wizara ya Madini
π Waziri - Anthony Peter Mavunde
π©βπΌ Naibu - Mh. Dkt. Steven Lemomo Kiruswa
Wizara ya Nishati
π Waziri - Mh. Deogratius Ndejembi
π©βπΌ Naibu - Salome Makamba
Wizara ya Katiba na Sheria
π Waziri - Mh. Juma Homera
π©βπΌ Naibu - Zainab Athuman Katimba