Kuna figure za kutamka na uhalisia.kama bungeni Tu.WIZARA YA AFYA TUMEITENGEA TRILIONI MBILIIII...WAHESHIMIWA,WEWEEE....!Mwaka WA bajeti ukiisha zimeenda bilioni 400 out of 2trilion.ikiwa realistic nampongeza mheshimiwa cz zikifika kwa walengwa zitawafuta mchozi.Natoa tu angalizo maana Hawa Maafisa wetu wakiona Fedha tu wanawaza kuiba.
Tumeona jinsi Fedha za covid-19 zilivyoliwa Kwenye halmashauri zetu.
Jumaa Mubarak π
Hizo zitaishia mikononi mwa CCMNatoa tu angalizo maana Hawa Maafisa wetu wakiona Fedha tu wanawaza kuiba.
Tumeona jinsi Fedha za covid-19 zilivyoliwa Kwenye halmashauri zetu.
Jumaa Mubarak π
Fedha za Majanga kutowafikia WAHANGA ni SERA ya CCM BOSS zitapigwa juu kwa juu kumbuka mwaka kesho kuna Uchaguzi na Mwaka 2025Natoa tu angalizo maana Hawa Maafisa wetu wakiona Fedha tu wanawaza kuiba.
Tumeona jinsi Fedha za covid-19 zilivyoliwa Kwenye halmashauri zetu.
Jumaa Mubarak [emoji3]
Kwa hiyo HANANG LIMEKUA CHAKA TU LA KUIDHINISHIA PESA ITOKE HAZINA?MI NINA IMANI NA MHESHIMIWA RAISI.ILA AWE MAKINI NA WALIOMZUNGUKA.Fedha za Majanga kutowafikia WAHANGA ni SERA ya CCM BOSS zitapigwa juu kwa juu kumbuka mwaka kesho kuna Uchaguzi na Mwaka 2025
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Aliye kula za Tetemeko si alishaenda?Natoa tu angalizo maana Hawa Maafisa wetu wakiona Fedha tu wanawaza kuiba.
Tumeona jinsi Fedha za covid-19 zilivyoliwa Kwenye halmashauri zetu.
Jumaa Mubarak π
Kwa hiyo HANANG LIMEKUA CHAKA TU LA KUIDHINISHIA PESA ITOKE HAZINA?MI NINA IMANI NA MHESHIMIWA RAISI.ILA AWE MAKINI NA WALIOMZUNGUKA.
Unadhani hizi zitaachwa? watu wamepiga kambi kule kutafuna pesaNatoa tu angalizo maana Hawa Maafisa wetu wakiona Fedha tu wanawaza kuiba.
Tumeona jinsi Fedha za covid-19 zilivyoliwa Kwenye halmashauri zetu.
Jumaa Mubarak π
Lazima pesa zitapigwaFedha za Majanga kutowafikia WAHANGA ni SERA ya CCM BOSS zitapigwa juu kwa juu kumbuka mwaka kesho kuna Uchaguzi na Mwaka 2025
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Nilipoona V8 zimejazana kule nikahisi kuna Mgao si bure πUnadhani hizi zitaachwa? watu wamepiga kambi kule kutafuna pesa
Kama ndivyo ilivyokuwa bado habari zitakuwa zimeshawafikia watu wote wa Hanang na Tanzania nzima kwamba Chadema walikwenda kutaka kuwafariji wahanga na manusura wa huko Hanang lakini wenye mamlaka wakawazuia !Wenzao wanawazuia ili wao ndio waonekane bora. Hopeless kabisa hawa watu.
Hata hekima tu ya kujjali ubinadamu wamekosa. Tuna safari ndefu.
Majangili yote yapo site, nchi ina viongozi walafi haswa na waroho wa mali za umma, kuna wahanga hewa pewa wameshachomekwaNilipoona V8 zimejazana kule nikahisi kuna Mgao si bure π
Hilo ndio tatizo kuu !!Lazima pesa zitapigwa
Majangili yote yapo Katesh kupiga pesa za umma, kutakuwa na wahanga hewa wa kutoshaHilo ndio tatizo kuu !!
Jamaa wengi hawashibagi !!
Wenye kuishi na Stress huwa hawatoshekagi na pesa !!
Wanatoshekaga na Cardiovascular π« diseases pekee zikiwafikia !!
Natoa tu angalizo maana Hawa Maafisa wetu wakiona Fedha tu wanawaza kuiba.
Tumeona jinsi Fedha za covid-19 zilivyoliwa Kwenye halmashauri zetu.
Jumaa Mubarak π
Kwa hiyo HANANG LIMEKUA CHAKA TU LA KUIDHINISHIA PESA ITOKE HAZINA?MI NINA IMANI NA MHESHIMIWA RAISI.ILA AWE MAKINI NA WALIOMZUNGUKA.
Aliye kula za Tetemeko si alishaenda?
After all sidhani kama zitawafikia kama cash, Kwa sehemu kubwa watafanyiwa vitu mfano ujenzi, ukarabati wa nyumba zao, n.k.
chezea watu wa ccm wewe, huenda hadi sasa 70% ya fedha hizo wameshasepa nazo baada ya mama kuondoka!