Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023
Natoa tu angalizo maana Hawa Maafisa wetu wakiona Fedha tu wanawaza kuiba.

Tumeona jinsi Fedha za covid-19 zilivyoliwa Kwenye halmashauri zetu.

Jumaa Mubarak 😀
Kuna figure za kutamka na uhalisia.kama bungeni Tu.WIZARA YA AFYA TUMEITENGEA TRILIONI MBILIIII...WAHESHIMIWA,WEWEEE....!Mwaka WA bajeti ukiisha zimeenda bilioni 400 out of 2trilion.ikiwa realistic nampongeza mheshimiwa cz zikifika kwa walengwa zitawafuta mchozi.
 
Natoa tu angalizo maana Hawa Maafisa wetu wakiona Fedha tu wanawaza kuiba.

Tumeona jinsi Fedha za covid-19 zilivyoliwa Kwenye halmashauri zetu.

Jumaa Mubarak [emoji3]
Fedha za Majanga kutowafikia WAHANGA ni SERA ya CCM BOSS zitapigwa juu kwa juu kumbuka mwaka kesho kuna Uchaguzi na Mwaka 2025

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Natoa tu angalizo maana Hawa Maafisa wetu wakiona Fedha tu wanawaza kuiba.

Tumeona jinsi Fedha za covid-19 zilivyoliwa Kwenye halmashauri zetu.

Jumaa Mubarak 😀
Aliye kula za Tetemeko si alishaenda?
After all sidhani kama zitawafikia kama cash, Kwa sehemu kubwa watafanyiwa vitu mfano ujenzi, ukarabati wa nyumba zao, n.k.
 
Wenzao wanawazuia ili wao ndio waonekane bora. Hopeless kabisa hawa watu.

Hata hekima tu ya kujjali ubinadamu wamekosa. Tuna safari ndefu.
Kama ndivyo ilivyokuwa bado habari zitakuwa zimeshawafikia watu wote wa Hanang na Tanzania nzima kwamba Chadema walikwenda kutaka kuwafariji wahanga na manusura wa huko Hanang lakini wenye mamlaka wakawazuia !
It won’t make any difference kwa watu !
 
Natoa tu angalizo maana Hawa Maafisa wetu wakiona Fedha tu wanawaza kuiba.

Tumeona jinsi Fedha za covid-19 zilivyoliwa Kwenye halmashauri zetu.

Jumaa Mubarak 😀

Kwa CCM zitaishia kwenye aidha kampeni au matumbo ya watu. Wakijitahidi Sana watawaachia wahanga ganji la milioni mia mbili.
 
Kwa hiyo HANANG LIMEKUA CHAKA TU LA KUIDHINISHIA PESA ITOKE HAZINA?MI NINA IMANI NA MHESHIMIWA RAISI.ILA AWE MAKINI NA WALIOMZUNGUKA.

Wote ni walewale. Mbona wanamuibia kila siku mabilioni na hafanyi kitu zaidi ya kulalama eti siku ya mwisho utaulizwa na Mungu au kuwapa adhabu ya kuwaita stupid. Rais mwenyewe anakula sema anazuga.
 
Aliye kula za Tetemeko si alishaenda?
After all sidhani kama zitawafikia kama cash, Kwa sehemu kubwa watafanyiwa vitu mfano ujenzi, ukarabati wa nyumba zao, n.k.

Na hapa ndipo shida inapoanzia
 
chezea watu wa ccm wewe, huenda hadi sasa 70% ya fedha hizo wameshasepa nazo baada ya mama kuondoka!

Ndio maana wamejazana kule kisa bilioni mbili. Utashangaa asilimia 59 ya hizo pesa zililipa Viongozi wa serikali walioenda kutoa pole kwa wahanga kule Hanang. CCM kwenye pesa ni wabaya hakuna mfano.
 
Back
Top Bottom