Kuna figure za kutamka na uhalisia.kama bungeni Tu.WIZARA YA AFYA TUMEITENGEA TRILIONI MBILIIII...WAHESHIMIWA,WEWEEE....!Mwaka WA bajeti ukiisha zimeenda bilioni 400 out of 2trilion.ikiwa realistic nampongeza mheshimiwa cz zikifika kwa walengwa zitawafuta mchozi.Natoa tu angalizo maana Hawa Maafisa wetu wakiona Fedha tu wanawaza kuiba.
Tumeona jinsi Fedha za covid-19 zilivyoliwa Kwenye halmashauri zetu.
Jumaa Mubarak 😀