Wenzao wanawazuia ili wao ndio waonekane bora. Hopeless kabisa hawa watu.

Hata hekima tu ya kujjali ubinadamu wamekosa. Tuna safari ndefu.
Hopeless mamako, wakanye hao wapumbavu wenzako wanaodandia matukio kutafuta umaarufu wa kipuuzi. Rais ndio mzazi wa wananchi siyo hao wahuni
 
Hopeless mamako, wakanye hao wapumbavu wenzako wanaodandia matukio kutafuta umaarufu wa kipuuzi. Rais ndio mzazi wa wananchi siyo hao wahuni

Tangu lini Rais akawa mzazi?. Rais ni mfanyakazi wa raia aneajiriwa na raia, sema chawa wanamuona Rais Kama kamungu mtu.
 
Aliye kula za Tetemeko si alishaenda?
After all sidhani kama zitawafikia kama cash, Kwa sehemu kubwa watafanyiwa vitu mfano ujenzi, ukarabati wa nyumba zao, n.k.
Hivyo vifaa unavyovisema ndio pesa yenyewe hiyo !!
Watu wakitaka kupiga hupiga hata kwenye mahindi ya msaada !!
Ni mwendo wa Kutakatisha !!
Fedha kwa vifaa au vifaa kwa fedha !!
 
Ulitaka kuwe na shamrashamra kwenye majonzi? Ur a total failure

Mbona yeye Rais ndio alitaka shamrashamra. Red carpet mara vikundi vya wasanii, mara hotuba za kumsifu na kuabudu baadala ya kujikita kwenye maafa. Nadhani Hanang wamepata somo la aina ya Viongozi walionao.
 
Kuna yule alisema sijui tetemeko kufanyaje huko Bukoba?.Ana hatari yule jamaa R.I.P
 

Jionee Hali Halisi ya Kijiji cha Gendabi, Hanang' Tanzania Kilichopitiwa na Janga


View: https://m.youtube.com/watch?v=6rPLW-jJbx0
Kijiji Gendabi jina lake pia ni kata ya Gendabi iliyoko chini ya mlima Hanang' ambao ni mlima wa nne kwa urefu nchini Tanzania.

Gendahi ni kata ya wilaya ya Hanang' katika mkoa wa Manyara, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa ya kitaifa iliyofanyika 2012 kata ya Gendabi ina wakaazi 10,968.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…