Nadhani itakuwa zaidi...Ila kama hujawaona huwezi sema ni kiasi kadhaaWalikufa watu 69 tu??? Kwa haya maelezo inaonekana jambo lilikuwa zito sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani itakuwa zaidi...Ila kama hujawaona huwezi sema ni kiasi kadhaaWalikufa watu 69 tu??? Kwa haya maelezo inaonekana jambo lilikuwa zito sana
Hopeless mamako, wakanye hao wapumbavu wenzako wanaodandia matukio kutafuta umaarufu wa kipuuzi. Rais ndio mzazi wa wananchi siyo hao wahuniWenzao wanawazuia ili wao ndio waonekane bora. Hopeless kabisa hawa watu.
Hata hekima tu ya kujjali ubinadamu wamekosa. Tuna safari ndefu.
Nilipoona V8 zimejazana kule nikahisi kuna Mgao si bure 😂
Wenyeji watakuwa na makisio halisi.Nadhani itakuwa zaidi...Ila kama hujawaona huwezi sema no kiasi kadhaa
Ulitaka kuwe na shamrashamra kwenye majonzi? Ur a total failureHalafu ziara yake imedorola ni balaa!
Hopeless mamako, wakanye hao wapumbavu wenzako wanaodandia matukio kutafuta umaarufu wa kipuuzi. Rais ndio mzazi wa wananchi siyo hao wahuni
Hivyo vifaa unavyovisema ndio pesa yenyewe hiyo !!Aliye kula za Tetemeko si alishaenda?
After all sidhani kama zitawafikia kama cash, Kwa sehemu kubwa watafanyiwa vitu mfano ujenzi, ukarabati wa nyumba zao, n.k.
Ulitaka kuwe na shamrashamra kwenye majonzi? Ur a total failure
Acha ujingaVijana wa ufipa umekubali raisi ni mmoja tu nchi hii haya nendeni mkasalimie wagonjwa huko Bugando nao pia ni watanzania na wanawahusu!
Wataalamu wa Geomorphology wanaelezea utafiti wao kuhusu majanga maporomoko ya ardhi, matope na milima kama ya mlima Hanang yanavyoweza kutokea
View: https://m.youtube.com/watch?v=jDqXgopte-0
Maporomoko ya ardhi hutokea wakati vitu-asili kama vile vifusi vya magogo na majani yaliyooza(mboji), miamba, tope zito na udongo kungoka kutoka uso wa mlima na kuteremka kuelekea chini bondeni kwa kasi inayoweza kukaribia maili 100 kwa saa. David Montgomery msomi kutoka Chuo Kikuu cha Washington aliyejikita kusoma maporomoko ya ardhi yaliyopita na ya sasa ili kujaribu kuelewa ni nini husababisha maporomoko ya ardhi . Kilipu hii ya video "Asili Inapofanya Yake / When Nature Strikes" imetolewa na kituo cha televisheni cha NBC News Learn kwa ushirikiano na mfuko wa Wakfu wa Kitaifa wa Sayansi.
Landslides occur when material like debris, rock, and soil become dislodged from the earth and slide downward at speeds that can approach 100 miles per hour. David Montgomery at the University of Washington studies past and present landslides to try to understand what causes them. "When Nature Strikes" is produced by NBC News Learn in partnership with the National Science Foundation.
Kuna rais wa manzese rais wa wasafi na rais wa masharo piaVijana wa ufipa umekubali raisi ni mmoja tu nchi hii haya nendeni mkasalimie wagonjwa huko Bugando nao pia ni watanzania na wanawahusu!