Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Habari zisizo rasmi vifo vinafikia 400Walikufa watu 69 tu??? Kwa haya maelezo inaonekana jambo lilikuwa zito sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zisizo rasmi vifo vinafikia 400Walikufa watu 69 tu??? Kwa haya maelezo inaonekana jambo lilikuwa zito sana
Mimi ninakubali. Mazingira yanasadifuHabari zisizo rasmi vifo vinafikia 400
Wataalamu waelezea udongo kunyonya maji mengi katika mlima Hanang
14 October 2022
KIFAHAMU CHANZO CHA MAJI CHENYE MITO NANE NDANI YA MLIMA HANANG NA MSAADA WAKE KWA WANANCHI
Mhifadhi wa hifadhi ya Mlima Hanang yenye utajiri wa maji ya kutosha kwa matumizi ya nyumbani na katika mashamba makubwa ya ngano.
View: https://m.youtube.com/watch?v=kXIktyk8JUU
Maji yanayopenya ktk miamba (Underground water system) na kutiririsha maji mengi kupitia chemchemi za maji kujitokeza ktk miamba na kufanya mito ya maji kadhaa kutiririka kutoka hifadhi ya msitu wa mlima Hanang nchini Tanzania.
Mlima Hanang uhifadhi maji kwa misimu mingi hata mvua zisiponyesha kwa miaka kadhaa anabainisha mhifadhi wa msitu wa mlima Hanang.
Hivyo mlima Hanang ni kama dodoki yaani sponji 🧽 kukusanya maji mengi hivyo miamba na ardhi ya mlima kuwa na unyevunyevu petevu kwa kuelemewa na maji, ndiyo maana kuna chemuchemi nyingi kutoka miambani na pia katika miteremko ya mlima huo wa nne kwa urefu nchini Tanzania ....
Hili ndio jambo la Aibu la kufungia Mwaka 2023 , lakini cha kushangaza ni kwamba Wananchi wa Hanang ni kama wamepuuza ujio huo huku wakionekana wazi kujitenga...
You are wasting your time, hivi tangu lini watawala wa Afrika wamekuwa serious na kuongea hoja sensitive kwenye masuala kama haya ya majanga kwa raia wao???Yaani Jennister Mhagama kaongea vizuri, kwa Kujiamini utadhani Yeye ndiyo Mtu ila Mtu Mwenyewe kwa dakika zote nilizomsikia sikumwelewa sana sana nilichokuwa nakisikia hasa ni Kikohozi na Kukohoa Kwake Kwingi tu.
aisee popoma umesema Kweli hajaongea ishu ya maaan kbsaa hata dkk tano Ni nyingi hotuba gani hi jmnYaani Jennister Mhagama kaongea vizuri, kwa Kujiamini utadhani Yeye ndiyo Mtu ila Mtu Mwenyewe kwa dakika zote nilizomsikia sikumwelewa sana sana nilichokuwa nakisikia hasa ni Kikohozi na Kukohoa Kwake Kwingi tu.
Huu ndio usemi wa Savimbi?You are wasting your time, hivi tangu lini watawala wa Afrika wamekuwa serious na kuongea hoja sensitive kwenye masuala kama haya ya majanga kwa raia wao???
"Katika nchi za Afrika hakuna Serikali, bali kuna Magenge ya watu walioshika silaha na kupora rasilimali za nchi ili kujinufaisha wao wenyewe pamoja na vibaraka wao."
Jonas Savimbi, aliyekuwa Mwanasiasa na Mwanamapinduzi wa Angola.
Chedema team nayo ilikuwa kule Katesh.Yaani Jennister Mhagama kaongea vizuri, kwa Kujiamini utadhani Yeye ndiyo Mtu ila Mtu Mwenyewe kwa dakika zote nilizomsikia sikumwelewa sana sana nilichokuwa nakisikia hasa ni Kikohozi na Kukohoa Kwake Kwingi tu.