Huyu hata hajaimba mkuu, kashika mic tu mama kamwambia nyimbo zako sizitaki.ππ
Hahaa, majirani zake aliowaaga kwa mbwembwe kama nawaona wakicheka,Tulikuwa tunashusha mizigo ya chegeni hapa musoma ghafla tunaabiwa turudi nayo tulipotoka
Hapa aliyedhamiriwa kutenguliwa ni Suleiman Mzee.Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani, amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dr. Raphaeli Chegeni.
Kabla ya uteuzi huo, Meja Jenerali Suleimani Mzee alikuwa Kamishina Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini.
#Mwakammojanasamia #kaziiendelee
View attachment 2310209
Unaangalia mafungu kwako ndio kipimo cha demotion,sasahivi huyo anapigiwa saluti na wakuu wote wa majeshi ya ulinzi na usalama,ni raisi katika mkoa wa mara.Yaah CGP kuwa Mkuu wa Mkoa ni demotion tu
Akiwa CGP alikuwa anasimamia magereza na miradi yao nchi nzima, ndo ana manage mafungu yote ya Magereza sasa leo kuwa RC ni kwamba kashuka sana
Mmedangwa na nani amekua demoted ,kipesa cjui ila kicheo amepanda ,hapo sasa hivi anapigiwa saluti hadi na CDF .yeye ni sehemu ya rais wa nchi nowBalaa hili. Huyu kamishina wa magereza kapata demotion ta kufa mtu. Tuliambiwa ni mchapa kazi .Imekuwaje tena ?Chegeni nae nani kamchongea ?Dunia hii ving'ast wamejaa tele. Hapo baba wa watu kishashona suti. ***** [emoji23]
Nafasi za kuteuliwa hazina hayo mamboHiyo ni nafasi ya utendaji aka utumishi wa umma (kwa maana ya kuajiriwa) na si ya utumishi wa umma hivyo hawezi kupewa
Ubalozi na ukuu wa mkoa,aliyepata shavu ni mkuu wa mkoa ndio representative wa raisi,balozi anaripoti kwa katibu mkuu wizara ya mambo ya njeBora aliyepewa ubalozi hii sasa ni too much[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
deanMmmmh nini shida
Mkuu wa mkoa ni mkubwa kuliko wote hao,yeye ni kivuli cha raisiKwa hiyo TOP wakuu wa vyombo vya ulinzi wapo level moja na wakuu wa mikoa?
Sasa itakujabtokea jeneral anapewa mkoa au IGP anapewa mkoa.
Tulikesha nae Bambalaga jana[emoji848][emoji848]Na huenda yupo ndani ya Dom tayari
Likely anaweza kuwa hata yeye kaomba kusitishwa uteuzi kwa heshima.Nadhani hili atalitolea ufafanuzi kesho akiwaapisha.
Watu tupunguze mawazo ya njaa njaa, huyo Chegeni sio kijana useme ndio anatafuta maisha, alishayatafuta kwa kuhudumu serikali zilizopita, sio mgeni kwenye siasa.
Timu jpm yule... kama wenzake wanatenguliwa kimya kimyaKuna nafasi ya katibu Mkuu viwanda na uwekezaji ipo wazi pengine atapelekwa huko
Ivi kwanini mnaongea vitu msivyo vijua ni upuuzi tu ulioandikaMmedangwa na nani amekua demoted ,kipesa cjui ila kicheo amepanda ,hapo sasa hivi anapigiwa saluti hadi na CDF .yeye ni sehemu ya rais wa nchi now
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Kumbe mkeka bado unaendeleaSiku chache baada ya Wakuu wa Mikoa wapya 9 kuteuliwa, Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Dkt. Raphael Masunga Chegeni
Amemteua Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, na ataapishwa na Wateule wengine kesho (Agosti 01, 2022)
Kabla ya uteuzi wa Rais, Meja Jenerali Mzee alikuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP)
View attachment 2310242
View attachment 2310215
Unaweza ukapata uteuzi!Kumbe mkeka bado unaendelea