Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Mkuu labda nawe ujiulize maswali haya. Je ni kweli kwamba Makonda na Sabaya wote walihusika kuteka na kutesa watu? Tuhuma hizi zipo ama hazipo? Je si kweli kwamba wote walitumia madaraka ya uma vibaya kwa kuendesha makundi ya kihalifu? Na vipi sio hawa wote ambao walitumia ofisi kujitajirisha tena kwa kufanya unyang'anyi mchana kweupe? Na hili nalo, si kweli kwamba wote walilindwa kwa gharama zote na baba yao wa Chato? Sio sahihi pia kwamba ndio viongozi pekee ambao baada ya kutumbulia nchi ililipuka kwa furaha bila kujali kwamba walikuwa wanaongoza sehemu ndogo ya nchi?
Na je si sahihi pia kama ikitokea wakachunguzwa tena pasi kuwa na chembe ya upendeleo wote wataenda kulala segerea?
Pole mkuu. Id Mubarak njema.
Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.

#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.

1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.

2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.

3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)

4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu

5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.

6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.

7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.

8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.

ONGEZEA .....
 
Je Mbowe ndiye aliyefanya CCTV zinase ujambazi wao? Je ni Mbowe ndiye aliyewaagiza watumie madaraka waliyopewa vibaya?
 
Dhambi ni dhambi na itajwe kwa jina lake, Mamlaka ya kuipamba dhambi kwa uzuri mnayapata wapi?!!
 
Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.

#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.

1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.

2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.

3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)

4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu

5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.

6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.

7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.

8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.

ONGEZEA .....
Makonda na Sabaya wote wanafanana issues mbalimbali,
1) Kuvamia vamia ovyo usiku wanafanana,
2) Kupenda sifa sana wanafanana,
3) Kujipendekeza wanafanana
4) Ubabe wa Kijinga

Mbowe hapa weka kando
 
Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.

#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.

1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.

2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.

3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)

4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu

5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.

6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.

7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.

8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.

ONGEZEA .....
Una matatizo sana wewe unahitaji msaada wa haraka sana
 
Hivi ni kuwa hamuamini hii nchi ni yetu sote!?,Kama Mbowe ana makosa vyombo vya sheria si vipo!?,kwanini asifikishwe huko na badala yake mnaamua kutumia wa watu wasiostahili.Pro Magufuli mtakufa kwa kihoro,pigs chini wote wasiofuata sheria,kiukweli Mama amejua kutufurahisha,utawala wa sheria full stop
Ndio tuhuma zenu za studio hizo
 
Ni kweli wana ujana wao lakini kuna ukweli au exagerration yenye nia ovu?Leo hii mwizi wa magari ndio kawa mshauri wa jamii kuhusu haki na dhuluma?
Leo hii muuza ngada ndio anaweza kuwa ndio mshauri wa mwenendo bora wa maisha?
Watu wamepukutushwa
Watu walitishwa....
Msipende sana kuamini watu especially
Hao wanaojifanya wazalendo,sijui wao
Ndiyo wanauchungu sana
Kwa maisha wanaoishi sahvi,mijengo,magari
Wanayotumia we unaamini mshahara nk
Wanaishi kwa kipato halali

Hebu stuka,amkaa
Kijana

Ova
 
Waje wao kama wao bila dola na bounces tuone wataweza kutuvuruga ? Wakamchukue Ally Hepi pia alisema atatutwanga....wahe sasa tuwaone na matako yao makubwa watupuge.....
 
Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.

#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.

1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.

2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.

3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)

4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu

5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.

6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.

7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.

8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.

ONGEZEA .....
No, hawawezi kuwa wahanga wa Freeman Mbowe...

Ni wahanga wa maamuzi na matendo yao maovu...

Huwezi kufanya kosa wewe mwenyewe kisha ukaanza kulaumu mtu mwingine...!
 
Wewe Boya hivi unanitafutia nini Mimi?
Eeeenhee Heee,

Kwani unajihisi nini ninacho "kutafutia"?

Mara hii umekwisha jishuku kwamba nakuona kama mpumbavu fulani tu!

Nataka unihakikishie kwamba wewe sio chizi kweli, maana maandishi yako humu yanaonyesha kuwa uko hivyo.
 
Aliyekuleta duniani ni Moron na Mental kuliko Mimi na nahisi atakuwa amekurithisha nawe pia.
 
Makonda atakamatwa na kupelekwa mahakamani lakini siyo sasa. Kuna sababu ya kufanya hivyo.
 
mafuta ya kula bado bei juu.
wananchi tunataabika, mtaji wa kukaanga samaki unakufa.
 
Back
Top Bottom