Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Ukawa ilijifia muda mbona!Unamaanisha genge la ukawa?
Nalisema genge maarufu la legacy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukawa ilijifia muda mbona!Unamaanisha genge la ukawa?
Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.
#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.
1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.
2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.
3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)
4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu
5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.
6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.
7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.
8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.
ONGEZEA .....
Je Mbowe ndiye aliyefanya CCTV zinase ujambazi wao? Je ni Mbowe ndiye aliyewaagiza watumie madaraka waliyopewa vibaya?Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.
#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.
1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.
2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.
3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)
4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu
5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.
6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.
7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.
8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.
ONGEZEA .....
Makonda na Sabaya wote wanafanana issues mbalimbali,Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.
#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.
1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.
2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.
3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)
4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu
5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.
6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.
7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.
8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.
ONGEZEA .....
Una matatizo sana wewe unahitaji msaada wa haraka sanaBaada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.
#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.
1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.
2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.
3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)
4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu
5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.
6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.
7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.
8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.
ONGEZEA .....
Ndio tuhuma zenu za studio hizo
Watu wamepukutushwaNi kweli wana ujana wao lakini kuna ukweli au exagerration yenye nia ovu?Leo hii mwizi wa magari ndio kawa mshauri wa jamii kuhusu haki na dhuluma?
Leo hii muuza ngada ndio anaweza kuwa ndio mshauri wa mwenendo bora wa maisha?
No, hawawezi kuwa wahanga wa Freeman Mbowe...Baada ya Makonda kumtaja Mbowe kwenye ile vita ya mtandao wa madawa ya kulevya alianza kushambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii vivyo hivyo baada ya uteuzi wa Sabaya kule Hai mashambulizi yalikuwa makali sana.
#MFANANO#
Kuna mambo common yanayowakumba Makonda na Ole Sabaya ambayo inabidi yatazamwe kwa kina na kwa uelewa mpana.
1-Makonda na Sabaya wanaijua Arusha na wana maslahi jijini Arusha na kwa namna fulani walidhibiti uhuni wa Lema vilivyo na kambi ya Mbowe.
2-Makonda na Sabaya wamegusa maslahi ya Mbowe. Yaani Makonda alimtaja kwenye sakata la madawa ya kulevya na Sabaya amkamnyoosha kwenye issue za ukwepaji kodi wa Hoteli zake.
3-Wote Yaani Sabaya na Makonda wamepewa kashfa zilizorushwa mitandaoni zinazohusiana na kuonekana kwenye CCTV wakifanya uvamizi.(ile dhana ya mcheza zengwe kuwa ni mmoja inaanza kupata nguvu)
4-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na tuhuma za kutumia vikosi maalumu
5-Wote Makonda na Sabaya wamehusishwa na kumiliki bastola na kuzitumia katika matukio yanayorushwa mtandaoni lakini hayapo polisi.
6-Shutuma zote za Makonda na Sabaya zinarushwa au kuhusishwa na mashirika ya kimataifa ,bunge la Seneti Marekani.
7-Wote Sabaya na Mbowe hawajawahi kutuhumiwa na mwananchi mnyonge eti wamenyanyasa.
8-Saga za Makonda na Sabaya zimeongelewa sana kupitia CLOUDS TV na kuleta hisia kwa jamii.
ONGEZEA .....
Wewe Boya hivi unanitafutia nini Mimi?Mara nakuona kama zimo za kutosha, mara unakuwa boya...
Muda si muda, ntajua tu wewe ni wa aina gani.
Eeeenhee Heee,Wewe Boya hivi unanitafutia nini Mimi?
Aliyekuleta duniani ni Moron na Mental kuliko Mimi na nahisi atakuwa amekurithisha nawe pia.Eeeenhee Heee,
Kwani unajihisi nini ninacho "kutafutia"?
Mara hii umekwisha jishuku kwamba nakuona kama mpumbavu fulani tu!
Nataka unihakikishie kwamba wewe sio chizi kweli, maana maandishi yako humu yanaonyesha kuwa uko hivyo.
Wakati mwingine mtu mjinga na mpumbavu akinyamaza huonekana mwenye hekimaUkiwa Fool tu lazima uwe na hizi Fikra.