Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

si uanze wewe kutuwekea madhambi ya makonda hapa
 
Makonda naye kafaya haya haya ya Sabaya. Kuivamia clouds ni kielelezo cha nguvu ya ukatili/ukiukaji wa sheria aliokuwa nao. siyo kuwa aliishia hapo, amefanya mengi hasa ya kuchukua fedha kwa lazima kutoka wa wafanyabiashara. Akikamatwa watajitokeza wengi kutoa ushahidi.
Alifanya hayo ikaundwa kamati ya kuchunguza tukio, Jiwe akaizima. Means Jiwe alisimamia haya yote ya akina Sabaya. makonda alikuwa kipenzi cha Jiwe, hivyo alitenda atrocities nyingi.
nani alimtishia bastola Nape?
Bottomline wa kuwachunguza ni wengi sana
 

Mulaga vipi?
 
ni lini mlipaza hizo sauti kwenye media mpaka ikasikika?acheni unafiki alijiinua mabega mama kayaona basi itoshe kusema hivyo
 
HAYO MAMBO YA GOLI LA MKONO HAYANA MAUMIVU.
Bashite na Goli la mkono ni Marafiki
 
si uanze wewe kutuwekea madhambi ya makonda hapa
Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kupotea kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS na GBP
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji

Kitu pekee ambacho atapona ni UNAKAJI. Hilo shtaka halitamhusu kwa vile yeye siyo Rijali
 
Embu orodhesha kwanza maovu ya Makonda,Anza wewe kuorodhesha
 
Naona makosa ya Makonda kupata ushahidi ni ngumu.Sabaya kiburi ndo kilimgharimu.
 
Kamanda ulimpa kalio akashindwa?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbe mnachofanya sasa ni visasi sio?
 
Kumbe mnachofanya sasa ni visasi sio?
Mda wa kumvizia kiongozi yeyote unayehisi kipindi cha uongozi wake hakukutendea haki. Hahahaha wabongo bhana, sio watu wa pole pole, ila jitahidini kutunza sheshima za watu. Kisasi hakijawahi kumwacha mtu salaama na upendo ndo kitu kikubwa kwa sisi binadamu wote na kila mmoja akitambua ya kuwa hajakamilika basi ni kitu bora sana kusameheana na kuelimishan kwa upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…