Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Sio mlisema wamepotezwa na mwendazake hawa kwaiyo mwendazake hakuusika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Benisaanane lisuu kupora pesa kwa wafanyabiashara wakimuacha makonda kutakuwa kunaonesha double standard makonda akamatwe ana meng sana ya kujib kwan aliumiza weng sana lengai tayar next makonda pls
 
Najaribu kuwaza leo Sabaya atakavyovuliwa nguo zote kwenye ukaguzi.... anaambiwa kujisaidia haja kubwa bila hata kubanwa.. anaambiwa kuchuchumaaa akiwa uchi wa mnyama mbele ya wale waliomuona boss wao.. tuliposema watu wanadhalilishwa wakafikiri yataishia kwa Chadema tu.

Heche
 

Kabisa mambo aliyofanya sabaya ni machache sana ukilinganisha na Makonda,yaani hadi USA wametoa ripoti na kumyima kuingia US sio masihara!! Makonda ana issue nyingi sana sema nyingine zina mkono wa "SIRIKALI" iliyopita.
 
Naona makosa ya Makonda kupata ushahidi ni ngumu.Sabaya kiburi ndo kilimgharimu.
Ugumu unatoka wapi wakati uvamizi wa clouds cctv camera mpaka leo ile video ipo
Kujipatia fedha kinyume cha sheria watendewa wapo na walipo deposite kunaonekana
 
Kuna yule anaitwa MNYETI yule nae amefanya mabaya sana huku manyara
 
Najaribu kuwaza leo Sabaya atakavyovuliwa nguo zote kwenye ukaguzi.... anaambiwa kujisaidia haja kubwa bila hata kubanwa.. anaambiwa kuchuchumaaa akiwa uchi wa mnyama mbele ya wale waliomuona boss wao.. tuliposema watu wanadhalilishwa wakafikiri yataishia kwa Chadema tu.
 
Heche alisema waliambia hapa mavi mbele kama tai yaani
 
Kimsingi wapo wengi waliodhulumu haki za watu, nadhani kama siyo sinema, basi wote wapitiwe na mkono wa sheria.......kama ni bongo movie basi itakuwa sawa na bure
 
Bashite ana kesi nyingi kuliko Sabaya.
1.Kughusi vyeti na kujipatia ajira serikalini.
2.Matumizi mabaya ya ofisi
3.Uvamizi wa of za cloud
4.Kuingiza macontena danganyifu na kukwepa kodi.
5.Uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo utekaji.
6.Kumiliki mali nyingi kuliko kipato chake.
kujipatia mali kwa kuwabambika kesi watu kupitia list feki ya poda.
8.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…